PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lawma zote..zielekezwe kwa lile lizee lakukenua meno mda wote..hilo ndolimebakia kama listaafu linashindwa kufanya jambo kisa lina mkula b.macho nakufinyiwa ndani
IMG_20251214_075829.jpg
 
Kutoka 11:4-7 (Biblia Takatifu) Musa akasema, Bwana asema hivi, Kama usiku wa manane mimi nitatoka nipite kati ya Misri;
na wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa huyo kijakazi aliye pale nyuma ya jiwe la kusagia; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.
Ndipo kutakuwa na kilio kikuu katika nchi yote ya Misri, ambacho mfano wake haujakuwa bado majira yo yote, wala hautakuwako mfano wake tena kabisa.
Lakini katika wana wa Israeli hapana hata mbwa atakayetoa ulimi juu yao, juu ya mtu wala juu ya mnyama; ili kwamba mpate kujua jinsi Bwana anavyowatenga Wamisri na Waisraeli.
 
Baadhi ya wauaji toka Zanzibar walipokuwa wakitekeleza mauaji dhidi ya Watanganyika walisikika wazi wakisema kuwa mwaka 2000 wazanzibari walikufa, safari hii ni zamu yenu. Wazanzibari walioletwa na Abduli wakitumia silaha alizoziingiza walikuwa wakiua kila mtanganyika anayeonekana bila ya kujali kama ni mtoto, mzee au kijana, hata kama yupo pekee yake. Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Katika utawala huu pesa nyingi za Tanganyika zimeporwa na kupelekwa kuijenga Zanzibar. Wazanzibari wamepora rasilimali nyingi za Tanganyika, kuanzia maelfu ya ekari za ardhi mpaka vitalu vya madini. Ndiyo maana wanasema chini ya utawala huu wameshuhudia maendeleo makubwa Zanzibar kuliko wakati wowote.
Fikiria Serikali ya JMT imechukua mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya kujenga hospitali kubwa Zanzibar yenye kiwango sawa na Muhimbili, kwenye kaeneo ambako ni sawa na wilaya 1 ya Tangayika, na idadi ya watu pungufu kabisa ya waliopo mkoa mmoja wa Tanganyika, wakati Tanganyika, hata kwenye kanda nzima hakuna hospitali kubwa kama ya Muhimbili. Mbaya zaidi deni hilo litalipwa na watanganyika, maana Zanzibar haijawahi kutoa hata shilingi moja kuchangia kulipa mkopo uliochukuliwa na Serikali ya JMT tangu Muungano uasisiwe.
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo. Aibu na huzuni kubwa ni kwa wanajeshi, UVCCM na polisi wa Tanganyika walioshirikiana na Wazanzibari kuwaua watanganyika wenzao.
Hakuna mzanzibar aliyeuawa mwaka 2000 kisa uchaguzi,mkiandaa uwongo zingatieni ukweli
 
Huyu mama hastahili kuwepo kwenye ardhi ya Tanganyika.
Muda ukifika ataondoka.
Muungano ufutwe au uundwe upya,
Anzeni haraka. Sisi tulijaribu mukatuua. Jitahidini hii adha iishe.
Wakitaka nchi iwe moja, Serikali moja, Bunge moja.
Hili halitotokea. Hatujafikia huko mambo ni haya!! Vipi tukifikia huko!! Wacheni kubabaisha, fanyeni kweli.
La sivyo, waende zao, tukutane nao huku EA
Hili tunalisubiri kwa hamu. Mkuu, Zanzibar ipo. Kama ilimshinda Mjerumani, ikamshinda Mwarabu, ikamshinda Nyerere, hii ipo tu. Fanyeni maamuzi haraka tupate nchi yetu, tutulie.
 
Hata Uchagani hakuna msiba ulioenda wote tuliwatupa kama mbwa
 
Hakuna mzanzibar aliyeuawa mwaka 2000 kisa uchaguzi,mkiandaa uwongo zingatieni ukweli
Nadhani walimaanisha mauaji ya January 2001 kufuatia uchaguzi wa November 2000. Serikali na Hayati Mkapa walikiri kuuawa kwa raia 17 na askari 1, na wananchi wengi kuwa wakimbizi kwa kukimbilia Kenya. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alitamka kujutia tukio hilo.
 
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.

Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?

Nawaza sana.
View attachment 3547444
Wazanzibari walifanya uchaguzi wao wakapata rais maisha yakaendelea kama kawaida.

Mkapa aliua wazenji kwa maelfu kule Pemba mwaka 2001, wale waliokuwa ndani ya boti wanakimbilia Mombasa baadhi hawakufika mbali helikopta za kijeshi zilikatiza juu yao zikawadondoshea mabomu ukawa mwisho wa maisha yao.

Hatia ikamsuta Mkapa kwenye kitabu chake akaomba radhi kuhusiana na unyama ule.

Mwaka jana Samia Mzenji akatoa amri ya kupiga shaba ndugu zetu huku bara!. Naamini kuna siku ataomba radhi kwenye kurasa za kitabu atakachokiandika baada ya kuwa ameshastaafu urais.
 
Muda ukifika ataondoka.

Anzeni haraka. Sisi tulijaribu mukatuua. Jitahidini hii adha iishe.

Hili halitotokea. Hatujafikia huko mambo ni haya!! Vipi tukifikia huko!! Wacheni kubabaisha, fanyeni kweli.

Hili tunalisubiri kwa hamu. Mkuu, Zanzibar ipo. Kama ilimshinda Mjerumani, ikamshinda Mwarabu, ikamshinda Nyerere, hii ipo tu. Fanyeni maamuzi haraka tupate nchi yetu, tutulie.

Kama Muungano ni adha, tushirikiane kuachana nao. Watanganyika tupambane kuachana na huu Muungano, na Wazanzibari nao wapambane kuachama na huu muungano. Hapo zamani ni Watanganyika walikuwa wakiulazimisha huu muungano, lakini sasa hivi ni Wazanzibari ndio wanaonekana kulazimisha huu Muungano.

Tuachane na Muungano, tubakie kama majirani wema wenye ushirikiano, sawa na tunavyoshirikiana na Kenya au Zambia au Burundi.
 
Wazanzibari walifanya uchaguzi wao wakapata rais maisha yakaendelea kama kawaida.

Mkapa aliua wazenji kwa maelfu kule Pemba mwaka 2001, wale waliokuwa ndani ya boti wanakimbilia Mombasa baadhi hawakufika mbali helikopta za kijeshi zilikatiza juu yao zikawadondoshea mabomu ukawa mwisho wa maisha yao.

Hatia ikamsuta Mkapa kwenye kitabu chake akaomba radhi kuhusiana na unyama ule.

Mwaka jana Samia Mzenji akatoa amri ya kupiga shaba ndugu zetu huku bara!. Naamini kuna siku ataomba radhi kwenye kurasa za kitabu atakachokiandika baada ya kuwa ameshastaafu urais.

Hiyo ya chopa ya kijeshi kuwadondoshea bomu wanaokimbia vita, naisikia leo!! Kama ni kweli, basi nchi hii ushetani ulianza tangu kale.
 
Kama Muungano ni adha, tushirikiane kuachana nao. Watanganyika tupambane kuachana na huu Muungano, na Wazanzibari nao wapambane kuachama na huu muungano.
Uongo huo kawaambie nduguzo. Wazanzibari tulipofanya hivyo mukatuita wahaini na kutupa madhila ya kila aina. Sasa kama kweli hamuutaki, uvunjeni. Ningewaomba Wazanzibari wasishiriki kwenye hili ili tuone Watanganyika nao watafanyiwa kama walivyofanyiwa Wazanzibari?
Hapo zamani ni Watanganyika walikuwa wakiulazimisha huu muungano, lakini sasa hivi ni Wazanzibari ndio wanaonekana kulazimisha huu Muungano.
Sio kweli kwamba sasa Wazanzibari wanalazimisha muungano. Kilichopo ni kuangalia tabia za Watanganyika kila anapokuwa rais anatoka Zanzibar inakuwa ni maneno ya jeuri na ujinga unaoambatana na ushamba wa mawazo wakidhani na kujidanganya kwamba Wazanzibari hawajui kitu. Zile fikra za kuidhibiti Zanzibar zinakuja tu rais akiwa anatoka Tanganyika, wakidhani hilo jambo wataliweza. Hiyo haitotokea.
Tuachane na Muungano, tubakie kama majirani wema wenye ushirikiano, sawa na tunavyoshirikiana na Kenya au Zambia au Burundi.
Sawa. Hili litawezekana iwapo tu Tanganyika mutafanya kweli na kujua kwamba hamtaweza kuidhibiti Zanzibar, sio leo wala siku nyingine yoyote.
 
Mkapa aliua wazenji kwa maelfu kule Pemba mwaka 2001, wale waliokuwa ndani ya boti wanakimbilia Mombasa baadhi hawakufika mbali helikopta za kijeshi zilikatiza juu yao zikawadondoshea mabomu ukawa mwisho wa maisha yao
Duh hii ni hatari, CCM ikiua watu kivipi kisasi kiwe kwa watanganyika as if raia tuliwahi shiriki kuwakandamiza wazenji? kwani huu muungano una kipi hasa cha maana kiasi hauwezi kuvunjwa kabisa?

Kwahiyo Rais akiwa mbara 2029 ina maana naye ataua wazanzibari ili kulipa kisasi cha 2025? Hawa CCM ni wapuuzi kabisa, wametuharibia nchi kwa tamaa za madaraka.
 
Wanao msemo 'Karma is a bitch' wengine wanasema 'Karma is real'.

Tusameheane, hii hulka ya asubuhi na mapema mtu anaanza kuandika huku amenuna inaongeza nafasi kwa maradhi mabaya ya kisukari na presha.
 
Duh hii ni hatari, CCM ikiua watu kivipi kisasi kiwe kwa watanganyika as if raia tuliwahi shiriki kuwakandamiza wazenji? kwani huu muungano una kipi hasa cha maana kiasi hauwezi kuvunjwa kabisa?

Kwahiyo Rais akiwa mbara 2029 ina maana naye ataua wazanzibari ili kulipa kisasi cha 2025? Hawa CCM ni wapuuzi kabisa, wametuharibia nchi kwa tamaa za madaraka.
Haya maneno yangekuwa yanasemwa hivi, leo hii tusingesemana kwa kuangalia asili. Hivi imekuja leo tu? Nakushukuru kwa kupata akili ya kuona mambo.
 
Wanao msemo 'Karma is a bitch' wengine wanasema 'Karma is real
Karma ni natural, huwezi beba bunduki ukasema karma.

Kwanza zanzibar hawakufa kama bara, kwa scope ya mauaji.

Hizo ni vijisababu tu mmetafuta ili kutengeneza justification ya kuua watu.

Na nikwambie tu huko mbele muungano utavunjwa sio kwa mazungumzo bali bara itaigeuza zanzibar mkoa tu kama mingine na utakua ndio mwisho. Haiwezekani kakisiwa kadogo kanajiamulia tu kutumia askari wake kuua wabara!! Na mbaya zaidi wanaleta mercenaries kutoka Uganda na Mozambique kuja kutumaliza!!
 
Haya ndio maneno yenu kwasababu waliokufa ni Wazanzibari!! Ubaguzi katika uhalisia wake.
Hapana, namjibu huyo anayesema ni kisasi cha mauaji ya 2001, ndio nasema kama ni kisasi ndio uue watu almost elfu 10,000 ilihali zanzibar hawakufa kiasi hiko.

Ndio maana nimemalizia kusema mauaji yalipangwa tu kwa sababu ya ulafi wa madaraka ila hakuna justification yoyote ya 2001.
 
Karma ni natural, huwezi beba bunduki ukasema karma.

Kwanza zanzibar hawakufa kama bara, kwa scope ya mauaji.

Hizo ni vijisababu tu mmetafuta ili kutengeneza justification ya kuua watu.

Na nikwambie tu huko mbele muungano utavunjwa sio kwa mazungumzo bali bara itaigeuza zanzibar mkoa tu kama mingine na utakua ndio mwisho. Haiwezekani kakisiwa kadogo kanajiamulia tu kutumia askari wake kuua wabara!! Na mbaya zaidi wanaleta mercenaries kutoka Uganda na Mozambique kuja kutumaliza!!
Umeandika usichokijua kwa sababu moyo wako umeujaza chuki na hasira.

Matatizo ya Zenji yanatatuliwa siku zote kwa kupelekwa askari kutokea huku Bara, utakuwa muujiza watoke Visiwani maaskari eti waje watulize ghasia huku bara!.

Hakuna mercenary hata mmoja aliyetumika October 29 2025 wote ni askari wa kikosi maalum cha huku huku bara, inasemekana walitoka Ngerengere Morogoro.
 
Kingine uzi wako huu una pandikiza mbegu ya chuki, maana hakuna takwimu zenye kuonyesha huyu alikuwa mtanganyika au mzanzibari.

wahuni wali tekeleza walicho kifanya, pasipo kutoa nafasi ya kujua huyu wa huku au kule.

So please wacha hizi mambo mzee, tukemee au kuchukua hatua kwa logics sio hisia.
Chuki Tayari imepandikizwa, swali ni lilelile Je kuna maiti ya oktoba 29 iliyosafirishwa kwenda Mchamba wima au kibanda maiti? Jibu lako liwe ndio Au hapana
 
Tanganyika tunajiua wenyewe tusiwalaumu sana wazanzibar

wanaomshauri na kumuongoza samia karibia wote ni watanganyika Kwahiyo hata kuuliwa ndugu zao wameamua wao ukitaka kuona hilo ni jinsi wanavyotetea hilo suala na kuona ni sahihi kilichofanyika
 
Hakuna mercenary hata mmoja aliyetumika October 29 2025 wote ni askari wa kikosi maalum cha huku huku bara, inasemekana walitoka Ngerengere Morogoro.
Sio kweli, kipindi mambo yametulia nadhani tarehe 3 hivi niliwakuta kwenye kituo cha polisi huku napoishi. Na walikua wanaongeleshwa kiingereza tu sasa kuna mtanzania gani hajui kiswahili mpaka asemeshwe kiingereza?

Kule songea pia kulikua na hayo malalamiko ya watu kukutana na hao waasi wa msumbiji kwenye mitaa ya bombambili huko!! Sasa zote hizo ni speculation tu?

Kuhusu wazanzibar hiyo lilikua documented na media credible kabisa the chanzo. Waliuwawa watu 8 huko Kinyerezi na walionusurika walidai kusikia lafudhi za zanzibar na waliwaambia kabisa wanawauwa sababu ni kisasi cha 2001!!

Sasa hauwezi puuzia malalamiko hayo kwamba nchi nzima wadanganye? Kwanini tume isichunguze hili?

NB: Usiseme matatizo ya zenji yalimalizwa na bara, yalimalizwa na CCM. Yaani CCM mtese watu zanzibar alafu mna justify kisasi kwa wabara as if wananchi ndio walitoa order wazenji wauwawe?

Embicile
 
Back
Top Bottom