Hakujutia, kama unavomuona Mahita kwenye recent interview yake, na Mkapa ndio hivo hivo. Hawajutii na wala hawatojutia wakiwa Hai.Nadhani walimaanisha mauaji ya January 2001 kufuatia uchaguzi wa November 2000. Serikali na Hayati Mkapa walikiri kuuawa kwa raia 17 na askari 1, na wananchi wengi kuwa wakimbizi kwa kukimbilia Kenya. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alitamka kujutia tukio hilo.