M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
It takes two to tango, Wazenji wao ndiyo wanachukia 'machogo'(Watanganyika kule Zenji wanaitwa machogo) kuliko wanavyochukiwa wao in case you don't know. Kama umewahi kuishi visiwani huko hilo utakuwa unalifahamu fika.Kumbuka Tanzania haijaanza jana wala juzi kupigwa vita, nadhani unaikumbuka kesi ya 2015 baada ya uchaguzi wakati wale jamaa wa IT walipokamatwa wakitaka kuvuruga uchaguzi.
Mwaka jana wale wale waliodakwa walikuja kivingine, jukumu la kuilinda dola lazima lifanyike muda wowote ule.
Kusema Zanzibar hakufa mtu tarehe 29 October wakati wazenji wengi walirudi kwao kwa kukimbia na boti kuelekea tarehe 9 Desemba, inaonyesha chuki za baadhi yetu watu wa bara dhidi ya Wazenji.
Tukimaliza kuwachukia wazenji tutakwenda kuhamia kwa makabila mengine, ni rahisi sana kusambaza roho ya chuki lakini vigumu kurudia hali ya kawaida inayokuwepo kabla.
Unapozungumzia IT craftsmen kwenye kugushi matokeo ya uchaguzi vinara ambao I can't see anyone matching them ni ile trio ya Abdurahman Kinana, January Makamba na Nape Nnawiye.