Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Pole kama nimekukwaza... Magufuli... Aliondoka... Nini kilibadilika huko ccm!Ni nani kasema kuondolewa Samia siyo kuondoa na hizo taka nyingine zote unazozifikiria wewe; au mpaka kitajwe kitu kimoja kimoja ndio uelewe maana na lengo linalokusudiwa!
Samia ndiye mkuu wa majambazi; anapozungumziwa yeye, maana yake ni majambazi wote waliochini yake.
Mnapenda sana kuzungumzia "mifumo", sijui ndiyo ionyeshe kuwa mnayajuwa haya mambo, hata haieleweki kwa nini kila mara mnakimbilia "mifumo".
Mifumo ni hayo hayo majambazi yote yanayoendesha serikali haramu.
Kumuondoa mmuaji SSH bila kuibomoa ccm ni kuandaa njia ya kupachika liuaji lingine!
Mfumo wote wa ccm umeoza! Ni kama ule wa ma-drug lords wa Mexico... Ua bosi wao...lakini na wote pia wafyekwe!
Pole tena kama kuzungumzia huo mfumo kumekukwaza!