PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanganyika tunajiua wenyewe tusiwalaumu sana wazanzibar

wanaomshauri na kumuongoza samia karibia wote ni watanganyika Kwahiyo hata kuuliwa ndugu zao wameamua wao ukitaka kuona hilo ni jinsi wanavyotetea hilo suala na kuona ni sahihi kilichofanyika
Kina kabudi wapo kimya na wanapinga mauaji kutokea!! Mchawi wa Tanganyika ni sisi wenyewe watanganyika
 
Kingine uzi wako huu una pandikiza mbegu ya chuki, maana hakuna takwimu zenye kuonyesha huyu alikuwa mtanganyika au mzanzibari.

wahuni wali tekeleza walicho kifanya, pasipo kutoa nafasi ya kujua huyu wa huku au kule.

So please wacha hizi mambo mzee, tukemee au kuchukua hatua kwa logics sio hisia.
Pole sana Mkuu. Nadhani nimeongea ukweli ambao hupendi kuusikia.
 
Nadhani walimaanisha mauaji ya January 2001 kufuatia uchaguzi wa November 2000. Serikali na Hayati Mkapa walikiri kuuawa kwa raia 17 na askari 1, na wananchi wengi kuwa wakimbizi kwa kukimbilia Kenya. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alitamka kujutia tukio hilo.
Ni 2001 si 2000,idadi waliyotoa CUF ni mara 20 ya hiyo
 
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.

Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?

Nawaza sana.
View attachment 3547444
porojo na uzushi nonsense kuhusu oct.29.2025, navyo hua vinazikwa gentleman, au unatafuta tension na useless public sympathy tu? :1Head:
 
Tanganyika tunajiua wenyewe tusiwalaumu sana wazanzibar

wanaomshauri na kumuongoza samia karibia wote ni watanganyika Kwahiyo hata kuuliwa ndugu zao wameamua wao ukitaka kuona hilo ni jinsi wanavyotetea hilo suala na kuona ni sahihi kilichofanyika
Nyoosha maneno sema mshauri mkuu wa Samia ni Kikwete na ndiye beneficiary namba moja kwa upande wa Tanganyika wa awamu hii iliyomwaga damu nyingi za Watanganyika ambavyo haijawahi kutokea tangu taifa la Tanganyika liundwe kwenye mkutano wa Berlin wa Europeans kuigawana Africa.
 
Naunga mkono hoja mkuu
 
Sio kweli, kipindi mambo yametulia nadhani tarehe 3 hivi niliwakuta kwenye kituo cha polisi huku napoishi. Na walikua wanaongeleshwa kiingereza tu sasa kuna mtanzania gani hajui kiswahili mpaka asemeshwe kiingereza?

Kule songea pia kulikua na hayo malalamiko ya watu kukutana na hao waasi wa msumbiji kwenye mitaa ya bombambili huko!! Sasa zote hizo ni speculation tu?

Kuhusu wazanzibar hiyo lilikua documented na media credible kabisa the chanzo. Waliuwawa watu 8 huko segerea na walionusurika walidai kusikia lafudhi za zanzibar na waliwaambia kabisa wanawauwa sababu ni kisasi cha 2001!!

Sasa hauwezi puuzia malalamiko hayo kwamba nchi nzima wadanganye? Kwanini tume isichunguze hili?

NB: Usiseme matatizo ya zenji yalimalizwa na bara, yalimalizwa na CCM. Yaani CCM mtese watu zanzibar alafu mna justify kisasi kwa wabara as if wananchi ndio walitoa order wazenji wauwawe?

Embicile
Wale jamaa waliovalia fulana na jeans za kubana walitoka ngerengere Morogoro na wengine ni kikosi maalum cha Polisi.

Hapakuwa na sababu ya kukodi polisi kutoka nchi jirani, hizo zilikuwa kauli za kutaka kuipaka matope serikali.
 
Ni 2001 si 2000,idadi waliyotoa CUF ni mara 20 ya hiyo
Mkapa unyama alioufanya haukubaliki na kama ambavyo unyama wa Samia usivyokubalika, hakuna justification katika mauaji ya raia.
Nimekuwa nikipiga story na jamaa zangu Wapemba na Mwajabu ni kwamba wanamlaumu Mkapa pamoja na Waunguja, wanadhani Waunguja ndiyo wanang'ang'ania muungano eti wanahisi muungano ukivunjika watatawaliwa na Wapemba. Wanadai hata Oman inapendelea damu za Kiarabu hivyo Waunguja(blacks) watakuwa watwana. Huu ni mtazamo wa Wapemba diaspora niliopiga nao story kuhusu muungano. Yaani hawa Wapemba hata mapinduzi hawayatambui wanadai Zenji ilipata uhuru way back kutoka kwa Muingereza. Confusing stories.
 
Kilichofanyika oktoba kwa wahuni ni sahihi,kinachotaka kufanyika kwa lissu baada ya kuongeza matukio ya oktoba kwenye kesi yake ni sahihi pia,na kukifuta hicho chama cha kihuni itakua sahihi pia
 
Kilichofanyika oktoba kwa wahuni ni sahihi,kinachotaka kufanyika kwa lissu baada ya kuongeza matukio ya oktoba kwenye kesi yake ni sahihi pia,na kukifuta hicho chama cha kihuni itakua sahihi pia
Kwa hiyo unamaanisha na Mkapa alikuwa sahihi vilevile kuwaua Wapemba(nao hapa tuwaite wahuni vilevile).
 
Wale jamaa waliovalia fulana na jeans za kubana walitoka ngerengere Morogoro na wengine ni kikosi maalum cha Polisi.

Hapakuwa na sababu ya kukodi polisi kutoka nchi jirani, hizo zilikuwa kauli za kutaka kuipaka matope serikali.
Acha uzwazwa, siri zilivuja na hakuna story uliyokuwa imetungwa. Unfortunately ziri zilivujishwa wakati mauaji yameshaanza na waliovujisha ni 'askari wema' baada ya kuona kukithiri kwa unyama dhidi ya raia.
 
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.

Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?

Nawaza sana.
View attachment 3547444

Vilevile hakuna nyumba ya Mtanganyika ilipata msiba Januari 12 1964 pia januari 2001 na pia oktober 2020 huku Zanzibar
 
Acha uzwazwa, siri zilivuja na hakuna story uliyokuwa imetungwa. Unfortunately ziri zilivujishwa wakati mauaji yameshaanza na waliovujira ni 'askari wema' baada ya kuona kukithiri kwa unyama dhidi ya raia.
Narudia tena kukwambia, hakuna polisi yoyote aliyekodiwa kutoka nchi ya jirani. Msiwapake matope majirani kwa stori za vijiweni.

Huwa hamna aibu kutunga vitu vya uongo, mmetunga kuhusiana na Mafwele habari imekanushwa rasmi.
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
Muungano haujaleta heri yoyote zaidi ya maangamizi kwa Tanganyika na Zanzibar . Kila mabaya yamekithiri mote . Ni wakati wa Muungano kuvunjiliwa mbalini kila mtu akaanza upya kivyake ikabaki ujirani mwema kama zamani na sio huu unafiki na chuki kubwa zilizofichika zinazoanza kujitokeza leo pamoja na nchi kudidimia kwenye kila ubaya unaoujua wewe.
 
Baadhi ya wauaji toka Zanzibar walipokuwa wakitekeleza mauaji dhidi ya Watanganyika walisikika wazi wakisema kuwa mwaka 2000 wazanzibari walikufa, safari hii ni zamu yenu. Wazanzibari walioletwa na Abduli wakitumia silaha alizoziingiza walikuwa wakiua kila mtanganyika anayeonekana bila ya kujali kama ni mtoto, mzee au kijana, hata kama yupo pekee yake. Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Katika utawala huu pesa nyingi za Tanganyika zimeporwa na kupelekwa kuijenga Zanzibar. Wazanzibari wamepora rasilimali nyingi za Tanganyika, kuanzia maelfu ya ekari za ardhi mpaka vitalu vya madini. Ndiyo maana wanasema chini ya utawala huu wameshuhudia maendeleo makubwa Zanzibar kuliko wakati wowote.
Fikiria Serikali ya JMT imechukua mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya kujenga hospitali kubwa Zanzibar yenye kiwango sawa na Muhimbili, kwenye kaeneo ambako ni sawa na wilaya 1 ya Tangayika, na idadi ya watu pungufu kabisa ya waliopo mkoa mmoja wa Tanganyika, wakati Tanganyika, hata kwenye kanda nzima hakuna hospitali kubwa kama ya Muhimbili. Mbaya zaidi deni hilo litalipwa na watanganyika, maana Zanzibar haijawahi kutoa hata shilingi moja kuchangia kulipa mkopo uliochukuliwa na Serikali ya JMT tangu Muungano uasisiwe.
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo. Aibu na huzuni kubwa ni kwa wanajeshi, UVCCM na polisi wa Tanganyika walioshirikiana na Wazanzibari kuwaua watanganyika wenzao.
Wacha kujijaza ujinga wewe.
 
Back
Top Bottom