PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkapa unyama alioufanya haukubaliki na kama ambavyo unyama wa Samia usivyokubalika, hakuna justification katika mauaji ya raia.
Nimekuwa nikipiga story na jamaa zangu Wapemba na Mwajabu ni kwamba wanamlaumu Mkapa pamoja na Waunguja, wanadhani Waunguja ndiyo wanang'ang'ania muungano eti wanahisi muungano ukivunjika watatawaliwa na Wapemba. Wanadai hata Oman inapendelea damu za Kiarabu hivyo Waunguja(blacks) watakuwa watwana. Huu ni mtazamo wa Wapemba diaspora niliopiga nao story kuhusu muungano. Yaani hawa Wapemba hata mapinduzi hawayatambui wanadai Zenji ilipata uhuru way back kutoka kwa Muingereza. Confusing stories.
Hiyo story umeitoa wewe hakuna mpemba mwenye akili hiyo . Wapemba na Unguja wameoana na kuzaana kiasi kwamba hakuna Mpemba asiye na jamaa unguja wala hakuna muunguja asiye na jamaa Pemba. Vyengine hao uliowasikia wakisema hivyo ni hawa wazanzibara walioletwa na Nyerere kuja kuifisidi Zanzibar
 
Narudia tena kukwambia, hakuna polisi yoyote aliyekodiwa kutoka nchi ya jirani. Msiwapake matope majirani kwa stori za vijiweni.

Huwa hamna aibu kutunga vitu vya uongo, mmetunga kuhusiana na Mafwele habari imekanushwa rasmi.
Wewe ndiyo huna aibu kuwa chawa, shameless swine. Hiyo habari kukanushwa wamekanusha mangapi ya ukweli, unakumbuka just recently tukio la Oct'29th walisema hakuna aliyeuawa na baada ya ushahidi kuzidi wakasema waliouawa si Watanzania(literally they meant Watanganyika) then ndugu wa waliouawa walipojitokeza kwa wingi ndipo akaita wazee wa CCM(dubbed as wazee Dar es Salaam) na ndipo Samia wenu huyo akasema kuua kule kulikuwa justified na hata clips za mwanzo walidai ni AI sasa angalia tukio moja maelezo tofauti kibao and you're coming here with your stupidity eti "habari imekanushwa rasmi", kukanushwa rasmi by these very same ass-holes? Do you think you're telling this rubbish stories of yours to some little kids?
Mnajiaibisha sana kwa uchawa, being squeezed to the corner and forced to spread hoaxes is the lowest level of humiliating yourselves.
 
Hiyo story umeitoa wewe hakuna mpemba mwenye akili hiyo . Wapemba na Unguja wameoana na kuzaana kiasi kwamba hakuna Mpemba asiye na jamaa unguja wala hakuna muunguja asiye na jamaa Pemba. Vyengine hao uliowasikia wakisema hivyo ni hawa wazanzibara walioletwa na Nyerere kuja kuifisidi Zanzibar
Wapemba hundred percent, Wapemba wamanga and for your information hata mapinduzi wanayakataa. Walikuwa connected sana na siasa za Zenji enzi za Maalim Seif and they were funding CUF a lot, these people are my very close friends so I talk to them a lot.
 
Mapinduzi wanayakataa Wazanzibari wote kwani hayakufanywa na Wazanzibari . Wewe unajifanya very close wakati Mimi ni Mzanzibari mwenye wazee Pemba na Unguja na Mapinduzi nimeyaona? Wamakonde wa Lindi na Mtwara wakipita wakiuwa watu Bure na kunajisi wahindi na waarabu na kuiba . Yale hayakuwa Mapinduzi yalikuwa Mavamizi ya Nyerere
 
Ni ajabu na ujinga mkubwa sana kama sio upumbavu kabisa. Total idiocy!

Viongozi wa CCM wakishangiliwa na wanachama, mashabiki na machawa wao wa pande zote mbili za muungano walipanga na kufanya mateso na mauaji ya Wapemba mwaka 2001 kwa kutumia vyombo vya dola wanavyovimiliki 100%.

Watu hao hao leo hii wanalalamika kwa mauaji yale ya 2001 wakidai yalifanywa na “Watanganyika” kisha wanapanga na wanaamrisha vyombo vyao vya dola vifanye mauaji yale ya halaiki ya Watanganyika indiscriminately eti “kulipiza kisasi” kwa kilichotokea 2001 kwa baraka zao wenyewe.

Hata leo viongozi wa CCM wanaangamiza wapinzani na wakosoaji hasa nyakati za uchaguzi pande zote wakishangiliwa na wafuasi wao wa pande zote!

HALAFU wadau hapa mnajadili kama ni suala la Watanganyika na Wazanzibari? Mfumo wa kishetani wa CCM hamuuoni? Kama vile sisi wote tuko ndani ya CCM?

Ule ushenzi uliofanywa na kina Mkapa wa 2001 tuliulaani sana. Leo hii nashindwa kuelewa inakuwaje watu hasa Wazanzibari waliosimama na Mkapa wakati ule leo wanakuja kufanya mauaji Yale ya kinyama bara eti kulipa kisasi?!

Siku zote ukatili wa CCM ndiyo nguzo kuu ya utawala wa CCM kule Zanzibar. Leo wanajidai ni Watanganyika ndio wanaowafanyia ndugu zao ukatili nyakati za uchaguzi - eti wao hawahusiki. Utter stupidity!

This must be a real STHL country.
 
mkuu ni kweli tuliumizwa na kilicho tokea, ila nasihi tutumie fikra zetu na sio mihemuko mibovu.

Tuki ingia mtego wa kuanza kuwindana sisi raia kwa raia bado ni hasara kwetu, na ndio kwanza watazidi kutengeneza mazingira ya kutukandamiza.
Hili halifai kuwa suluhisho.... Lazima kuna kitu kifanyike. LABDA KAMA HUKUGUSWA ANGALAU HATA KWA JIRANI. Kuna watu hawawaoni ndugu hadi nao wafe jomba....
 
Baadhi ya wauaji toka Zanzibar walipokuwa wakitekeleza mauaji dhidi ya Watanganyika walisikika wazi wakisema kuwa mwaka 2000 wazanzibari walikufa, safari hii ni zamu yenu. Wazanzibari walioletwa na Abduli wakitumia silaha alizoziingiza walikuwa wakiua kila mtanganyika anayeonekana bila ya kujali kama ni mtoto, mzee au kijana, hata kama yupo pekee yake. Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Katika utawala huu pesa nyingi za Tanganyika zimeporwa na kupelekwa kuijenga Zanzibar. Wazanzibari wamepora rasilimali nyingi za Tanganyika, kuanzia maelfu ya ekari za ardhi mpaka vitalu vya madini. Ndiyo maana wanasema chini ya utawala huu wameshuhudia maendeleo makubwa Zanzibar kuliko wakati wowote.
Fikiria Serikali ya JMT imechukua mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya kujenga hospitali kubwa Zanzibar yenye kiwango sawa na Muhimbili, kwenye kaeneo ambako ni sawa na wilaya 1 ya Tangayika, na idadi ya watu pungufu kabisa ya waliopo mkoa mmoja wa Tanganyika, wakati Tanganyika, hata kwenye kanda nzima hakuna hospitali kubwa kama ya Muhimbili. Mbaya zaidi deni hilo litalipwa na watanganyika, maana Zanzibar haijawahi kutoa hata shilingi moja kuchangia kulipa mkopo uliochukuliwa na Serikali ya JMT tangu Muungano uasisiwe.
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo. Aibu na huzuni kubwa ni kwa wanajeshi, UVCCM na polisi wa Tanganyika walioshirikiana na Wazanzibari kuwaua watanganyika wenzao.
Una chuki binafsi na Wazanzibari.
 
Mapinduzi wanayakataa Wazanzibari wote kwani hayakufanywa na Wazanzibari . Wewe unajifanya very close wakati Mimi ni Mzanzibari mwenye wazee Pemba na Unguja na Mapinduzi nimeyaona? Wamakonde wa Lindi na Mtwara wakipita wakiuwa watu Bure na kunajisi wahindi na waarabu na kuiba . Yale hayakuwa Mapinduzi yalikuwa Mavamizi ya Nyerere
Mapinduzi hayakufanywa na Nyerere, yalifanywa John Gideon Okello. Baada ya 'uhuru' waliupata kutoka kwa Muingereza 1963 na Zenji kuwa chini ya Sultan then John Gideon Okello kumpindua Sultan Jamshid bin Abdullah kosa alilofanya Okello ni kwenda Uganda ndipo figisu la Karume na Nyerere lilipotiki(nao ni kama walimpindua Okello in absentia). Hawa jamaa zangu hawawakubali kabisa Waunguja.
 
Kingine uzi wako huu una pandikiza mbegu ya chuki, maana hakuna takwimu zenye kuonyesha huyu alikuwa mtanganyika au mzanzibari.

wahuni wali tekeleza walicho kifanya, pasipo kutoa nafasi ya kujua huyu wa huku au kule.

So please wacha hizi mambo mzee, tukemee au kuchukua hatua kwa logics sio hisia.
Sikubaliani na ujinga wanna CCM n uchafuzi, na managing waliyofanya lakini.. Huyu jamaa ni KIAZI, tangu juzi amdhihaki kardinali Pengo
 
Wapemba hawakuchoma wala kuiba mali ya mtu,wala hawakuwa na lengo la kuandamana hadi rais atoke madarakani
Muuaji ni muuaji tu, hata kisheria adhabu ya kuiba au kuchoma mali si kumiminiwa live bullets. Rubber bullets, gas cannons, tear gasses na water cannons ndiyo hutumika kwenye kuzuia riots kama lengo ni kuzuia riots na si kuua.
Anayeamini Samia yuko sahihi kwa mauaji aliyoyafanya na aamini pia Mkapa alikuwa sahihi kwa mauaji akiyafanya.
 
Nadhani walimaanisha mauaji ya January 2001 kufuatia uchaguzi wa November 2000. Serikali na Hayati Mkapa walikiri kuuawa kwa raia 17 na askari 1, na wananchi wengi kuwa wakimbizi kwa kukimbilia Kenya. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alitamka kujutia tukio hilo.
Watu 17!!!!!!!?🤔
 
Wewe ndiyo huna aibu kuwa chawa, shameless swine. Hiyo habari kukanushwa wamekanusha mangapi ya ukweli, unakumbuka just recently tukio la Oct'29th walisema hakuna aliyeuawa na baada ya ushahidi kuzidi wakasema waliouawa si Watanzania(literally they meant Watanganyika) then ndugu wa waliouawa walipojitokeza kwa wingi ndipo akaita wazee wa CCM(dubbed as wazee Dar es Salaam) na ndipo Samia wenu huyo akasema kuua kule kulikuwa justified na hata clips za mwanzo walidai ni AI sasa angalia tukio moja maelezo tofauti kibao and you're coming here with your stupidity eti "habari imekanushwa rasmi", kukanushwa rasmi by these very same ass-holes? Do you think you're telling this rubbish stories of yours to some little kids?
Mnajiaibisha sana kwa uchawa, being squeezed to the corner and forced to spread hoaxes is the lowest level of humiliating yourselves.
Mngekuja kwa amani angalau mngeweza kusikilizwa, kitendo cha kuja kwa shari kilikuwa kibaya sana kwa watanzania wote.
 
Back
Top Bottom