PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wiki moja kabla ya uchaguzi ule wazanzibar walitangaziwa misikitini na majumbani kuwa waondoke bara waelekee zanzibar na usafiri ulikuwa bure hadi ijumaa jioni kabla ya 29oct.

Sijasimuliwa bali nilishuhudia kwa macho kwani shule zilizopo mwambao wa bahari ya hindi waliombewa ruhusa ya wiki moja.

Na wakati polisi wanawaswaga waandamanaji hawakufika ununio wala kunduchi kabisa na hata hawakuwekewa lockdown kwa waliobaki bara.

Hivyo ni dhahiri kuwa hakuna msiba uliovuka maji kwenda kisiwani 29oct.
 
Mngekuja kwa amani angalau mngeweza kusikilizwa, kitendo cha kuja kwa shari kilikuwa kibaya sana kwa watanzania wote.
Hao criminals hawawezi kusikiliza mtu yoyote, opposition ikiwa soft that's when they squeeze it to the maximum. Opposition parties soft zote zimeshazimwa so people have learnt a lesson, ukitaka chama kife just be soft to the ruling party na chama kitapotezwa mazima. Chama ni watu(members, supporters, fans and sympathisers), if a party do what it's people want then it'll survive all sorts of storms.
 
CCM wakiamuaga kukomalia hoja za hovyo hata kama zikionekana za hovyo wanashikilia pale pale maana hawajali so long as masikioni mwao zina sound vizuri.

Kuna mtu aliwahi kuja na hoja kama hii ya mleta mada kwamba MO29 hakukuwa na mauaji kisa baada ya pale hakukuwa na maturubai yoyote ya misiba kule maeneo ya Kinondoni wala misafara ya kusafirisha maiti mikoani. Wanasahau walitokomea na miili ya marehemu.
 
Ni ajabu na ujinga mkubwa sana kama sio upumbavu kabisa. Total idiocy!

Viongozi wa CCM wakishangiliwa na wanachama, mashabiki na machawa wao wa pande zote mbili za muungano walipanga na kufanya mateso na mauaji ya Wapemba mwaka 2001 kwa kutumia vyombo vya dola wanavyovimiliki 100%.

Watu hao hao leo hii wanalalamika kwa mauaji yale ya 2001 wakidai yalifanywa na “Watanganyika” kisha wanapanga na wanaamrisha vyombo vyao vya dola vifanye mauaji yale ya halaiki ya Watanganyika indiscriminately eti “kulipiza kisasi” kwa kilichotokea 2001 kwa baraka zao wenyewe.

Hata leo viongozi wa CCM wanaangamiza wapinzani na wakosoaji hasa nyakati za uchaguzi pande zote wakishangiliwa na wafuasi wao wa pande zote!

HALAFU wadau hapa mnajadili kama ni suala la Watanganyika na Wazanzibari? Mfumo wa kishetani wa CCM hamuuoni? Kama vile sisi wote tuko ndani ya CCM?

Ule ushenzi uliofanywa na kina Mkapa wa 2001 tuliulaani sana. Leo hii nashindwa kuelewa inakuwaje watu hasa Wazanzibari waliosimama na Mkapa wakati ule leo wanakuja kufanya mauaji Yale ya kinyama bara eti kulipa kisasi?!

Siku zote ukatili wa CCM ndiyo nguzo kuu ya utawala wa CCM kule Zanzibar. Leo wanajidai ni Watanganyika ndio wanaowafanyia ndugu zao ukatili nyakati za uchaguzi - eti wao hawahusiki. Utter stupidity!

This must be a real STHL country.
Niliwahi kusema maneno hayo hayo. Waliotekeleza mauaji ya 2001 na 2025 ni watu wale wale.
 
Hao criminals hawawezi kusikiliza mtu yoyote, opposition ikiwa soft that's when they squeeze it to the maximum. Opposition parties soft zote zimeshazimwa so people have learnt a lesson, ukitaka chama kife just be soft to the ruling party na chama kitapotezwa mazima. Chama ni watu(members, supporters, fans and sympathisers), if a party do what it's people want then it'll survive all sorts of storms.
Kutokuwa soft haina maana uwe chanzo cha vurugu, pinga yale yasiyostahili kufanyika lakini ukivuka mstari unatafuta taabu kutoka kwa wenye mamlaka.
 
Muuaji ni muuaji tu, hata kisheria adhabu ya kuiba au kuchoma mali si kumiminiwa live bullets. Rubber bullets, gas cannons, tear gasses na water cannons ndiyo hutumika kwenye kuzuia riots kama lengo ni kuzuia riots na si kuua.
Anayeamini Samia yuko sahihi kwa mauaji aliyoyafanya na aamini pia Mkapa alikuwa sahihi kwa mauaji akiyafanya.
Usilazimishe, mkapa alinogewa tu na damu za waislam,alipowapiga risasi na kuwaua msikitini mwembechai 1998 hakutosheka,akaua tena 2001,wala hapakua na kitisho cha kupinduliwa
Oktoba hazikua riots bali mapinduzi
 
Kutokuwa soft haina maana uwe chanzo cha vurugu, pinga yale yasiyostahili kufanyika lakini ukivuka mstari unatafuta taabu kutoka kwa wenye mamlaka.
Chanzo cha vurugu ni wakiukaji wa sheria za nchi, polisi badala ya kukamata suspects kwa taratibu za kisheria wanateka suspects na kwenda kuwalawiti na kuwaua hivi sasa hapo mahakama kazi yao ni ipi.

Bila uharamia huo wala kusingewahi kutokea vurugu za aina yoyote, hizihizi cangaroo courts lakini kama watu wangekuwa wanachukuluwa kwa utaratibu wa kisheria, mtu anafuatwa, mjumbe anashirikishwa ili hata ndugu wafahamu kituo alichopo waweze kumpelekea misaada ambayo ni haki ya mtuhumiwa kama lawyers, vyakuka na nguo za kubadilisha.

Sio mtu anachukuliwa na polisi kihuni then inakuja kuokotwa maiti au mtu anakutwa amejeruhiwa kwa kupigwa sana, sometimes anakuwa na makovu ya risasi na wengine wanakuwa wamenajisiwa then unajifanya haujui kama polisi na dola yote kwa ujumla wake ndiyo chanzo cha vurugu kwa kukiuka sheria za nchi.
 
Usilazimishe, mkapa alinogewa tu na damu za waislam,alipowapiga risasi na kuwaua msikitini mwembechai 1998 hakutosheka,akaua tena 2001,wala hapakua na kitisho cha kupinduliwa
Oktoba hazikua riots bali mapinduzi
Mkapa hawezi kufika hata theluthi ya uuaji wa Samia, kwa kifupi hatujawahi kuwa rais aliyefanya mauaji mpaka dunia ikashangaa. Sasa hatuwezi kuzisema nchi zenye machafuko kwani nasi tumetumbukia kwenye shimo hilohilo and for that degradation thanks to Samia.
 
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo.
Sahihi kabisa,
Si ajabu kuwa waziri wa fedha sasa ni shemeji wa Samia, maana yake wamejimilikisha Hazina.
Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Cha ajabu muuaji Haji Omar Kheir aliyeua Watanganyika wengi na kusimamia mauaji ya maelfu, sasa yupo ikulu kama mshauri wa Samuya
 
Nikiwa Rais cha kwanza kabisa ni kuitisha kura ya maoni kuhusu muungano
 
mkuu ni kweli tuliumizwa na kilicho tokea, ila nasihi tutumie fikra zetu na sio mihemuko mibovu.

Tuki ingia mtego wa kuanza kuwindana sisi raia kwa raia bado ni hasara kwetu, na ndio kwanza watazidi kutengeneza mazingira ya kutukandamiza.
Tanganyika lazima irejeshwe mikononi mwa WaTanganyika!
Hamkupata uhuru ili mporwe na Unguja!
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
Ni suala la muda tu muungano utaangukia pua mtake msitake. Inasemwa muungano ni wa wananchi, na wananchi ndo hawautaki, mtaulinda na kuudumisha vipi?

Kipindi cha G55 awamu ile ya Mwinyi kama siyo Nyerere kusimama kidete muungano ungefutwa rasmi.

Kwa sasa Muungano umebaki kuwa kichaka cha majizi na mafisadi kufanyia maovu yao sawa sawa na ule moto mnaoita mwenge. Haya mambo mnalazimisha tu ila yalipitwa na wakati kitambo
 
Mapinduzi wanayakataa Wazanzibari wote kwani hayakufanywa na Wazanzibari . Wewe unajifanya very close wakati Mimi ni Mzanzibari mwenye wazee Pemba na Unguja na Mapinduzi nimeyaona? Wamakonde wa Lindi na Mtwara wakipita wakiuwa watu Bure na kunajisi wahindi na waarabu na kuiba . Yale hayakuwa Mapinduzi yalikuwa Mavamizi ya Nyerere
Duh,
Sasa mbona huwa mnayaita Mapinduzi matukufu?

Na kwa kweli inajulikana kuwa yaliongozwa na Mganda John Gideon Okello
 
Nashindwa kuelewa unalenga kitu gani hasa.

Unasemaje wewe, Fikra zako ni zipi hasa, tumwache Samia aendelee kutuburuza? Hilo sahau kabisa.

Samia ndiyo sumu inayotakiwa kuondolewa ili taifa hili lisimame tena.
Kumuondoa Samia bila kuondoa mfumo uliomuweka alipo ni upofu.
Ni sawa na kulipasua jibu alafu usilikamue!
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
Wapuuzi ni wengi! Na wanaongezeka! Sidhani kwamba Tanganyika ilipata uhuru ili mporwe na Unguja!
 
Kumuondoa Samia bila kuondoa mfumo uliomuweka alipo ni upofu.
Ni sawa na kulipasua jibu alafu usilikamue!
Ni nani kasema kuondolewa Samia siyo kuondoa na hizo taka nyingine zote unazozifikiria wewe; au mpaka kitajwe kitu kimoja kimoja ndio uelewe maana na lengo linalokusudiwa!

Samia ndiye mkuu wa majambazi; anapozungumziwa yeye, maana yake ni majambazi wote waliochini yake.

Mnapenda sana kuzungumzia "mifumo", sijui ndiyo ionyeshe kuwa mnayajuwa haya mambo, hata haieleweki kwa nini kila mara mnakimbilia "mifumo".

Mifumo ni hayo hayo majambazi yote yanayoendesha serikali haramu.
 
Back
Top Bottom