figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kuna dalili zinazoonyesha; na matamshi yaliyolenga kuonyesha kuwa joto ni kwa waTanganyika na siyo Wazanzibari.Kingine uzi wako huu una pandikiza mbegu ya chuki, maana hakuna takwimu zenye kuonyesha huyu alikuwa mtanganyika au mzanzibari.
wahuni wali tekeleza walicho kifanya, pasipo kutoa nafasi ya kujua huyu wa huku au kule.
So please wacha hizi mambo mzee, tukemee au kuchukua hatua kwa logics sio hisia.
Nashindwa kuelewa unalenga kitu gani hasa.mkuu ni kweli tuliumizwa na kilicho tokea, ila nasihi tutumie fikra zetu na sio mihemuko mibovu.
Tuki ingia mtego wa kuanza kuwindana sisi raia kwa raia bado ni hasara kwetu, na ndio kwanza watazidi kutengeneza mazingira ya kutukandamiza.
Niliotaka nimjibu hivi, maana niliona anazngua. Intelligent businessman huwezi ukamfariji mfiwa kwa kumwambia "nyamaza usilie", hustaili kuwa mfariji ni bora ukae kimya.Kuna dalili zinazoonyesha; na matamshi yaliyolenga kuonyesha kuwa joto ni kwa waTanganyika na siyo Wazanzibari.
Samia kuzungumzia yaliyowapata WaZanzibari nyakati za nyuma sasa yawapate waTanganyika, ni wazi kuwa mada haijayaleta haya kama mapya humu JF
KMKM waliletwa huku Tanganyika kwa vile palikuwepo na upungufu wa polisi au wanajeshi?
KMKM ni kikosi maalum kwa Zanzibar, hawana shughuli zozote za kazi za kuwaleta Tanganyika
Polisi au JWTZ wanaosemwa kupelekwa Zanzibar kufanya mauaji majukumu yao ni ya pande zote za muungano
Wazanzibari wanajua wakati wa uchaguzi ni wakati wa vurugu walijihami mapema kwa kukaaa majumbaniHakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Ilikuwa pre-planned na lengo lilikuwa ni kuua Watanganyika tu, walipanga kuua wengi kadri iwezekanavyo ili mtikisiko wa tukio zima uumize familia nyingi na Tanganyika na Watanganyika wote kwa ujumla wake waingie uoga kwa kutojaribu kumpinga Samia kwa namna yoyote.Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
naunga mkono hojaKingine uzi wako huu una pandikiza mbegu ya chuki, maana hakuna takwimu zenye kuonyesha huyu alikuwa mtanganyika au mzanzibari.
wahuni wali tekeleza walicho kifanya, pasipo kutoa nafasi ya kujua huyu wa huku au kule.
So please wacha hizi mambo mzee, tukemee au kuchukua hatua kwa logics sio hisia.
Nashindwa kuelewa unalenga kitu gani hasa.
Unasemaje wewe, Fikra zako ni zipi hasa, tumwache Samia aendelee kutuburuza? Hilo sahau kabisa.
Samia ndiyo sumu inayotakiwa kuondolewa ili taifa hili lisimame tena.
naunga mkono hoja
P
Profoundly articulated, big up sana.Baadhi ya wauaji toka Zanzibar walipokuwa wakitekeleza mauaji dhidi ya Watanganyika walisikika wazi wakisema kuwa mwaka 2000 wazanzibari walikufa, safari hii ni zamu yenu. Wazanzibari walioletwa na Abduli wakitumia silaha alizoziingiza walikuwa wakiua kila mtanganyika anayeonekana bila ya kujali kama ni mtoto, mzee au kijana, hata kama yupo pekee yake. Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Katika utawala huu pesa nyingi za Tanganyika zimeporwa na kupelekwa kuijenga Zanzibar. Wazanzibari wamepora rasilimali nyingi za Tanganyika, kuanzia maelfu ya ekari za ardhi mpaka vitalu vya madini. Ndiyo maana wanasema chini ya utawala huu wameshuhudia maendeleo makubwa Zanzibar kuliko wakati wowote.
Fikiria Serikali ya JMT imechukua mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya kujenga hospitali kubwa Zanzibar yenye kiwango sawa na Muhimbili, kwenye kaeneo ambako ni sawa na wilaya 1 ya Tangayika, na idadi ya watu pungufu kabisa ya waliopo mkoa mmoja wa Tanganyika, wakati Tanganyika, hata kwenye kanda nzima hakuna hospitali kubwa kama ya Muhimbili. Mbaya zaidi deni hilo litalipwa na watanganyika, maana Zanzibar haijawahi kutoa hata shilingi moja kuchangia kulipa mkopo uliochukuliwa na Serikali ya JMT tangu Muungano uasisiwe.
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo. Aibu na huzuni kubwa ni kwa wanajeshi, UVCCM na polisi wa Tanganyika walioshirikiana na Wazanzibari kuwaua watanganyika wenzao.
tulirudi kwetu mapema sana...Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
watu wanaapa kwa miungu yao kuulinda muungano kwa nguvu zote, utambanduaje bila katiba?Huyu mama hastahili kuwepo kwenye ardhi ya Tanganyika.
Muungano ufutwe au uundwe upya, na kuhakikisha Tanganyika haitumiki kama shirika la misaada la kuijenga Zanzibar. Wakitaka nchi iwe moja, Serikali moja, Bunge moja. La sivyo, waende zao, tukutane nao huku EA