PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Dhambi ya kuua innocent lives inawaangukia wauaji na si vinginevyo.
 
Kwa kuwa kwako killing of innocent people is very fine as long as Samia stays on the throne then endelea tu hivyohivyo, Ayatollah Ali Khamenei yamemtokea puani.
Mnawapeleka vijana wa kitanzania mbele kwenye mapambano dhidi ya serikali halafu nyinyi mnashinda mahotelini mkila viyoyozi.

Kisa mnawalipa tshs 50,000, yaani wapoteze maisha kisa pesa mbuzi!!.
 
Mnawapeleka vijana wa kitanzania mbele kwenye mapambano dhidi ya serikali halafu nyinyi mnashinda mahotelini mkila viyoyozi.

Kisa mnawalipa tshs 50,000, yaani wapoteze maisha kisa pesa mbuzi!!.
Samia anavyopeleka vijana wetu DRC kwa siri na wanauawa kama inzi umewahi kulalamika?
Goodness hii ya vijana wa mapambano dhidi ya ukandamizaji wanajitolea wenyewe kwa utashi wao na wengine pia wanajitolea at their own capacity, everyone is playing his/her own role to the maximum. Kuumng'oa dictator anayeng'ang'ania madaraka si jambo la lelemama.
 
Wanajeshi wanaolinda amani DRC wapo kazini, wameanza kwenda huko miaka na miaka.

Kuna nguvu ya watu fulani nyuma ya kile kilichotokea 29 October, baada ya mfumo kumdhibiti Mange kule California yale maandamano ya 9 Desemba yakatoweka mazima.
 
Wanajeshi wanaolinda amani DRC wapo kazini, wameanza kwenda huko miaka na miaka.

Kuna nguvu ya watu fulani nyuma ya kile kilichotokea 29 October, baada ya mfumo kumdhibiti Mange kule California yale maandamano ya 9 Desemba yakatoweka mazima.
Mange hausiki na maandamano zaidi ya ku-motivate hivyo hizo pumba za eti kumthibi Mange ni rubbish za kuwalisha wasio na akili za kujua how these things are done. Kama hakuna ukatili (ie; uuaji, utekaji na uhalifu mwingine mwingi) unaotendeka hakuna anayeweza kushawishi watu kuingia barabarani kuandamana na wakakubaliana naye.
 
Rubbish kwako usiye na taarifa mimi ninazo japo siwezi kukulazimisha kukubaliana na ninachosema.

Mange alikuwa na mawasiliano na baadhi ya Wakenya waliofanya ule ushenzi siku ile.
 
Rubbish kwako usiye na taarifa mimi ninazo japo siwezi kukulazimisha kukubaliana na ninachosema.

Mange alikuwa na mawasiliano na baadhi ya Wakenya waliofanya ule ushenzi siku ile.
I repeat, hizo ni rubbish. Mnalishwa information kwa ujinga wenu mnaziamini, wahuni hao wanatafuta justifications za uhajahili wanaowafanyia raia. Huo upumbavu wa kusingizia Wakenya ulishakuwa exposef that it was a failed hoax fabrication. Too bad kwamba chawa hamna namna ya kupata information halisi zaidi ya kuwa brainwashed ili muendelee kutumika as it suits hao maharamia, majizi na mafisadi.
 
Narudia tena kukuambia kwamba wapo wasaliti wa nje na ndani ya Tanzania hao tutapambana nao milele yote.
 
Kumbuka kuwaonya vijana kuhusu siasa za harakati, hata siku moja hazizai matunda chanya.
Bila harakati mpaka leo tungekuwa chini ya ukoloni wa Muingereza, sasa huyu mkoloni uchwara dictator shangingi naye ataondolewa kwa harakati and she knows that why she is busy squandering and stealing whatever she can lay her hands on.
 
Bila harakati mpaka leo tungekuwa chini ya ukoloni wa Muingereza, sasa huyu mkoloni uchwara dictator shangingi naye ataondolewa kwa harakati and she knows that why she is busy squandering and stealing whatever she can lay her hands on.
Siku zote nazipinga akili negative zenye kujaa chuki zisizo na maana.

SSH anatimiza ahadi zote zilizomo kwenye ilani ya CCM kwa umahiri mkubwa.

Story za Abdul kutajirika kipindi hiki ni upuuzi mtupu, story za Rais kuiba mali ni upuuzi mwingine.

Kwa bahati mbaya media tunazitumia katika kusambaza ujinga na uzushi hivyo inakuwa rahisi kumpa matope Rais.
 
Tunamfahamu Abdul tokea anauza matairi na mpaka ghafla bin vuu kuanza kumiliki Rolls-Royce la 1,000,000US$ na Bugatti of about the same value among his fleet of cars sasa kama huko si kutajirika hapo bado hatujaongelea his business ventures. Huyo Abdul ambaye not long ago alikuwa mbangaizaji wa Kariakoo.
Media zote mmezishika it's absurd bringing the hypocrisy of crying foul on what the media reports, ni watu individuals ndiyo ambao hupaza sauti wanapoona mambo hayaendi sawa. Tatizo mlilonalo hamtaki kabisa kusikia criticism, ni aibu kubwa kwa system na chawa kwa ujumla wenu mnapokuwa mnataka kusifiwa tu kama dictatorial regimes nyingi ambavyo huwa zinalazimisha.
Unapozungumzia negativity nyinyi ndiyo nyumbani kwenu, have you ever tried to put yourself in the shoes of the parents who up to date have no idea where their children are? Pale opposition politicians wanapokuwa harassed, wanapobambikwa makesi yaliyokuwa na kichwa wala miguu then eti kujakuja kufanyika reconciliation na kesi inafutwa hapohapo(mfano ni tulivyoaminishwa kuwa Mbowe ni gaidi lakini aliponunulika tu akawa mtu mwema). Mmejaa negativity zilizojaa chuki dhidi ya kila anayepinga utekaji, ufiraji na uuaji so when you talk about the negativity go and look on the mirror.
 
✊
 
Hakuna anayetaka kusifiwa muda wote, kukosolewa kunamsaidia yule anayelengwa na ukosoaji kuliko mkosoaji mwenyewe.

Kumshambulia Abdul hakuna tofauti yoyote na namna mlivyomshambulia Bibi Siti Mwinyi miaka ile ya awamu ya pili mkasema anauza madawa ya kulevya, kumbe zilikuwa porojo za chuki.

Unataka aliyeuza matairi miaka ya nyuma aendelee kuuza matairi mpaka uzeeni?. Soma historia za kina Bakhresa na Bill Gates, utajiri waliokuwa nao miaka ya 70 haufanani na huu wa sasa mtu huenda akifanikiwa zaidi kadri muda unavyokwenda.

Lissu hajabambikiwa kesi, ni kweli alisema anakwenda kukinukisha, Heche akaenda mbali zaidi akasema uchaguzi hautafanyika kabisa, vigumu sana wanasiasa wenye lugha hatari za aina hii waachwe tu wakati kauli zao zimebeba kuvunjika kwa Taifa zima.

Kosoeni kadri mnavyoweza mnachokisema kinaisaidia serikali kwa ujumla.
 
Mama Sitti Mwinyi hakuwa akishambuliwa mpaka baada ya saga ya kusafirisha dhahabu na US$ bila vibali, kumbuka back then ilikuwa lazima uonyeshe receipts za benki uliponunulia foreign currencies. Hakukuwa na maduka ya kubadilishia fedha back then, so lazima uelewe hakuna ambaye huwa anasakamwa pasina sababu. Ya Abdul ni wanafiki tu who will pretend not to see his evil deeds, you can't fabricate false story and make it hold water.
 
Polisi au JWTZ wanaosemwa kupelekwa Zanzibar kufanya mauaji majukumu yao ni ya pande zote za muungano
Kwa hio hawa uliowataja ndio wana jukumu la kufanya mauaji? kumaanisha kuwa ni sawa wao kuletwa Zanzibar kufanya mauaji?
 
Kwa hio hawa uliowataja ndio wana jukumu la kufanya mauaji? kumaanisha kuwa ni sawa wao kuletwa Zanzibar kufanya mauaji?
Umesoma wapi hayo unayosema wewe. Mbona hayapo katika niliyoandika mimi?

Unajuwa kusoma na kuelewa ulichosoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…