Hakujutia, kama unavomuona Mahita kwenye recent interview yake, na Mkapa ndio hivo hivo. Hawajutii na wala hawatojutia wakiwa Hai.Nadhani walimaanisha mauaji ya January 2001 kufuatia uchaguzi wa November 2000. Serikali na Hayati Mkapa walikiri kuuawa kwa raia 17 na askari 1, na wananchi wengi kuwa wakimbizi kwa kukimbilia Kenya. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alitamka kujutia tukio hilo.
Nimequote kutoka kwako, si ndio maana ukapata notification?Umesoma wapi hayo unayosema wewe. Mbona hayapo katika niliyoandika mimi?
Unajuwa kusoma na kuelewa ulichosoma?
Una'quote' kwa kuweka maana isiyokuwepo?Nimequote kutoka kwako, si ndio maana ukapata notification?
Nimeweka maan gani na kitu umeandika mwenyewe?Una'quote' kwa kuweka maana isiyokuwepo?
Unayoakili timamu wewe?
mkuu ni kweli tuliumizwa na kilicho tokea, ila nasihi tutumie fikra zetu na sio mihemuko mibovu.
Tuki ingia mtego wa kuanza kuwindana sisi raia kwa raia bado ni hasara kwetu, na ndio kwanza watazidi kutengeneza mazingira ya kutukandamiza.
Kama Tanga (mfano) yenye kilometers za mraba 26,000 haiwezi kutulisha Tanganyika yote, ila Israel yenye kilometers za mraba 22,000 inawaburuza waarabu wote, kwa silaha, wanazalisha chakula, technoligia kubwa utajiri na ubabe juu,Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Unaniuliza swali kwa maneno yasiyokuwepo katika hiyo 'quotation' unayoizungumzia?Nimeweka maan gani na kitu umeandika mwenyewe?
Uliuliza iweje KMKM wapelekwe bara wakati hawana shughuli bara lakini ukaendelea kusema kwa kuonesha kuwa Polisi na JWTZ ni sawa tu kupelekwa Zanzibar, sasa mimi nakuuliza je ni sawa Polisi na JWTZ kupelekwa Zanzibar kufanya mauaji? Au nikuulize kuwa je kuna haja gani ya kupelekwa Polisi na JWTZ Zanzibar kipindi cha kampeni na uchaguzi?
Kwanza je unao ushahidi juu ya haya usemayo?Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444