Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Ndio hvyo kwa awamu hii no guarantee.Ila naona wanaenda beyond humanity kwa maamuzi mengine
Japo zamani niliwahi kupendekeza Tundu Lissu apewe adhabu kali, lakini sikumaanisha ni adhabu kali kama hii ya kufutiwa ubunge.
Pole sana school mate wangu Tundu Lissu.
P
 
Ni mwendelezo wa utawala wa mabavu uliojaa woga wa kutisha. Sasa ni dhairi awamu ya tano haina uwezo wa kujisimamia kwa hoja kuntu. Leadership skills completely missing the necessary resort is to appeal to draconian legislations and massive use of repressive state apparatus to silence opposition
 
Paskali Mayala kumbe wewe pia umesoma Ilboru? Ulikua unalala bweni gani mkuu, maana mimi nimesoma Ilboru nikiwa darasa moja mbele ya Tundu Lissu, na nilikua Bweni la Meru enzi hizo sijui kama wamebadili majina.
Wasiomjua Lissu watamuona wa ajabu ila ukweli utabaki ya kuwa the boy was intelligent na alikuwa mtundu toka shuleni
 
Nilikuwa Oldonyo, kwa vile nilitokea Dar, nikategemewa kulala Meru, nilipokuta nimepangiwa Oldonyo, nilikubali na kukaa hapo mwanzo, mwisho.
P
 
Nilikuwa Oldonyo, kwa vile nilitokea Dar, nikategemewa kulala Meru, nilipokuta nimepangiwa Oldonyo, nilikubali na kukaa hapo mwanzo, mwisho.
P
Okay that’s great ulikua mwaka mmoja na kina Francis Mwaijande nini au kina Uswege Africa au Charles Mwankupili, au Mathias Kabunduguru maana ni muda mrefu umepita. But am happy to know that you are the product of Ilboru sec school umekula ugali wa Mzee chuma
 
N
na Mzee Bino bwana kaka naamini hakukukamata mjini au barabarani na ile gari yake MZC 611
 
Hivi bro ulitaka apewe adhabu gani zaidi ya hiyo?
Lissu bado ni mgonjwa aliponea kimuijiza kifo , kufuatia shambulio la wasiojulikana la risasi 38, na 16 kati ya hizo zikampata,

Watanzania wote wanajua, bara zima la Africa wanajua, dunia inajua.
Kufuatia shambulio hilo alipaswa kutibiwa na ofisi ya Bunge, lakini hili halikufanyika, he was denied deserving treatment, mshahara wake ukasitishwa, na baada ya kutangaza kuwa amepona na kutoa tarehe ya kutua nyumbani, ndipo ikaamuliwa atimuliwe ubunge.
I think this is not fair, it's like adding an insult to an injury, kutia chumvi kwenye kidonda.
Mtu wa aina hii, amepitia mitihani na majaribu makubwa sana, hivyo alistahili kuvumiiwa, kustahiliwa na kuendelea kusuportiwa na sio kutimuliwa kazi.
P
 
Duh!
Pole sana!!!
Hivi ulaya kuna teknolojia ya kitabibu ya kuondosha makovu yote yatokanayo na majeraha?( swali nje ya mada)
Technology ipo, makovu ya mwili huondolewa kwa plastic surgery na skin grafting, makovu mabaya kabisa ni makovu ya moyo kutokana na maumivu ya mateso ya mwili, hii inaitwa stigma, inatibiwa kisaikolojia.
P
 
Nina kovu la risasi na la upasuaji siyapendi kabisa mwilini mwangu...
Makovu ya moyoni dawa yake naijua.......
Technology ipo, makovu ya mwili huondolewa kwa plastic surgery na skin grafting, makovu mabaya kabisa ni makovu ya moyo kutokana na maumivu ya mateso ya mwili, hii inaitwa stigma, inatibiwa kisaikolojia.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…