Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

Waandishi huripoti misiba na matukio yenye public interest hasa kama kuna taarifa zinataka kufichwa ili kuiarifu umma au vyombo husika kuchukua hatua za haraka.
Kuharibu vitendea kazi vya mwandishi ni kosa.
Wahusika wawajibishwe,iwe fundisho kwa watu wengine wenye taabia kama hizo.
 
Mwandishi kwenye msiba wa familia anatafuta nini wakati hajaalikwa! Waandishi wajifunze kuheshimu faragha za watu binafsi, alitakiwa aombe ruhusa kabla ya kufika hapo, kisingizio cha walikuwa wamelewa ni cha kijinga na kitoto kwani wao wapo nyumbani kwao na pombe alizozifuata msibani hakuwanunulia yeye. Kuhusu kufidiwa kadi ni hisani tu kwani yeye ndiye aliyevamia nyumbani kwa watu.
 
Sema ulifuata pombe na misosi, covareji ya nini nyumbani kwa watu, muue bibi yako kisha ufanye cavareji, mbona misiba mingi ya uji na maharage hamuendi kufanya hizo cavareji?
 
Wapuz sana

Viherehere sana...mtu kumiliki mgahawa bilionea [emoji1]

Washobokeaji sana hawa f kbs

Ova
Mimi naona kama kuna taarifa zinafichwa,kwanza ajali haijaripotiwa
na jeshi la polisi,pili familia kuteketeza memory card ya mwandishi,tatu kama kuna watu wengine wamejeruhiwa katika ajali hiyo na hawana wa kuwasemea,hapo taarifa za mwandishi huviamsha vyombo vingine kuchukua hatua.
 
Ilikuwa lini? Hebu njoo tena hata weekend hii
 
Kuna watu wengine wanapenda faragha...msiba usiwe kama wana shoot bongo movie
Waandishi wa vionline TV wengi viherehere tu

Ova
 
Dah kuna watu huwa hawapendi kuweka misiba yao public...waandishi ombeni ukubali wa ndugu wa marehemu kabla ya kufika kwenye makazi ya watu na makamera yenu
Neno kuntu kabisa hili mkuu, life styles zinatofautiana kati ya familia moja na nyingine.

Ila mkuu hapo kwenye msamiati "ukubali" wa ndugu .... Kiswahili hakijakaa sawa hata kama tumeelewa, ungesema "ridhaa" ya ndugu... ingekuwa vizuri sana.

Pls don't be offended [emoji3526]

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…