Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 General Election
Duru ya pili ikawaje si Uhuru akashinda. Nadhani inshu haikuwa matokeo ila ilikuwa formality. Koz Uhuru alishinda tena
Duru ya pili ilishaharibika. Raila alipogomea uchaguzi. Hatuwezi kujuwa ingekuwaje kama angeshiriki katika hali ya usawa.
 
Kwa vyovyote vile Wakenya lazima wapate rais mpya.
MK254
 
Kumwaga damu ni mental illness
Sioni sababu ya kufanya hivyo
Mnakaa nyumba moja mnaumizana
Huu ni ugonjwa lazima utibiwe
 
Kuna mahali jana nimesoma amesema wameshahesabu kura zao na wanasubiri kuapishwa.

Nikasema hapa lazima kinuke. Huyu mwanamke nuksi sana.
Odinga alifanya hesabu yake vibaya... na ile endorsement yake na Kenyatta was a kiss of death.
 
Ukabila sio kitu poa
 
Yapo mengi sana. Tumia akili yako nawe uweze kujuwa kuwa kuna makosa yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu. Usiwe tegemezi kwa kila jambo.
Umesema yapo mengi sana... nimekuuliza swali simple tu, kama yapi?
Unaishia kutoa povu, nani hatumii akili kati yangu na wewe?
 
Nilikuwa namhofia Ruto kuwa aweza kuleta vurugu lkn jamaa ametulia sana tu
Zee la vurugu ni Odinga na watu wake, wamezua vurugu Bomas na kuiita eti ni kituo cha uhalifu
Hata wafuasi wa Odinga ndio wanaoongoza kwa kuilaumu tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…