Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini

Tukumbuke. Ngono ndebele, tswana na nandini wali migrate in 18c toward north kwa sababu ya wazuru.
Wazuru walianza Fujo hata kabla ya wazungu hawajaja south.
Inasemekana san and khoi people walipewa option tatu na wazuru
1.Wajiunge na zuru empire
2.Wahame
3.Wauwawe.
Nasikia wengine walijiunga, wengine waliingia ndani huko karahali desert na wengine waliuwawa.
Waliwaua pilgrim wote(andunje kama wale wa kongo)
Zuru people ni kundi baya zaidi la wabantu hapa Afrika.
Wabantu wa Afrika mashariki tuliweza kuishi bila magomvi ya kuua kwa kughirikisha kizazi.
Tumeweza kuishi na wasomali, nailoti,warabu,wahindi nk.
Tulishindwa kuishi na wazungu tu kutokana na tabia zao mbaya.
Wazuru mpaka leo wameshindwa ku intergrate na kaburu wanatamani aondoke wakati kaburu hana kwao mpaka sasa zaidi ya SA.
Poleni sana watu wa huko.
 
KWani wazawa hawana biashara huko mpaka nyie mkifunga mpaka wafate town bidhaa au huduma??
Kwani kuna Mzaramo mwenye duka kariakoo?

Wamekuja Wakinga juzi tu wameikamata kariakoo.

Sasa Tanzania ingekuwa ni primitive country kama wale mbwa wa kizulu Kariakoo pasingekalika na Wachina wangeuwawa sana.

Shida moja wale primitive nashindwa kuwaelewa mpaka leo wao mgomvi wao ni kwa weusi wenzao, tena wanawaita jina la kibaguzi "Makwelekwele" wanawaogopa wazungu usisikie.
 
Ndg hakuna chenye thamani zaidi ya maisha.
Maisha hayo ni yakubahatisha, fanya uamuzi wa haraka. Riziki ni popote, amini atapoenda inaweza kuwa ni sababu ya kutokakimaisha
 

Sitaki kudharau maneno mazuri uliyoniambia ila ukweli ni kwamba mtu anakufa popote sio sisi tu ambao tunapigwa risasi hata na wao wenyewe wasouth wanauana Kwa risasi mfano AKA.. so Mungu akikupangia kufa kwa kupigwa risasi hata hapo hapo bongo unaweza ukamiminiwa hata risasi 5 , uwa naamini sanaa kwenye M/Mungu mkuu

Atakachopanga ndicho kitakachokuwa- hivyo tu
 
Vingine anapanga shetani usiwe mjinga.
 
Hizo nchi wataenda kumuuzia nani sembe?

Sio kila mtu aliyekuwa ughaibuni anauza sembe haipo hivyo ni chuki dhidi ya watafutaji walio nje na Tanzania ila nakuhakikishia maneno tupu sio kitu fanya utuue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…