Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
- Thread starter
- #61
Alafu wa Bongo wa siku hizi sijui kwa nini wanapenda sana kuishi huko location Kama wa Zimbabwe na wabangubangu! Zamani Wabongo walipenda sana kuishi town kwenye flats! Machafuko ya kianza huko South Mara nyingi wanao aanza kuvamiwa ni wageni wanao ishi location,kuwafikia wageni wanao ishi town inakua ngumu kidogo, maana town kidogo kuna patrol za Wazee na vitenga vyao full kuzunguka mitaani kuangalia usalama kwa raia!!
Siku hizi wanakufata ulipo wakikutaka mkuu