VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hahaaaa. Umeonaeeee.

Na ni kweli usemalo pia ila mie najisemea kama inawezekana waanze tu kuwapima ili tuone mtakavyopata tabu.
 
Majibu acha kabisa Mkuu. Huwa hayanaga ubaunsa
 
Hahaaaa. Umeonaeeee.

Na ni kweli usemalo pia ila mie najisemea kama inawezekana waanze tu kuwapima ili tuone mtakavyopata tabu.
na huu ugonjwa unaweza kaa nao zaidi ya miaka 10 ukawa fresha tuu,unakukula taratibu ndani kwa ndani, usipopima hutajua mpaka pale utakapoonekana umeshaisha. hahaa of course wengi wanaisha na kukonda baada ya kupima lazima tukimbie.
 
Jamani si walete chanjo au imeishia wapi,,wakileta chanjo unapimwa ndio unapewa chanjo kama huna HIV sasa hii kulazimishana vepeee vepee
Yani upewe chanjo ya ukimwi kama unavyopewa ya surua?[emoji3][emoji3]
 
wewe nani kakudanganya
watu wanaopata VVU niliwaona wameishi miaka mingi sana ni miaka 2 sasa hapo kuna maisha tena?
Mi ninaowajua wanamiaka zaidi ya kumi na ukiwaona huwezi amini kama ni waathirika,ukila vizuri,ukanywa dawa vizuri unapeta tu,hao siku zao zilikuwa zishafika
 
Badala ya kuwaza mambo ya msingi wanakuja na suggestions za kijinga! Wafikirie namna ya kustabilize uchumi walioubomoa waache upumbavu aarrrgh!
 
Kabla ya kupima huwa minafkiria rafu zangu nikishajirizisha Nko Sawa Napima
 
Mie mzima pia, namshukuru Maulana.
Kuna watu huwa wanaenda kupima then wanabadili gia angani na kukimbia majibu kimoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hofu ni kuambiwa kuwa you're HIV+

Ndiyo brother yaani
Kile kitendo cha kupewa majibu na kuambiwa uko tayari kupokea majibu ni kugumu mno.................

Kuna watu wakipewa majibu wanaanguka kwa pressure pale anapoambiwa "una maambukizi"
Binafsi naona bora anayeanguka na kufa kwa pressure kuliko

1. Unaanza kuishi kwa kunywa dawa tena zinachosha na naskia zina zinaleta ndoto mbaya mbaya tu (Ewe Mola tunusuru waja wako).
2. Wakati huo unafikiria vipi jamii itakupokea ukirudi nyumbani hasa ile wakijua kuwa una maambukizi.
3. Issue inakuja pia kwenye mateso naskia yaani unajiskia hovyo sana mara unawanshwa mwili mzima mara kichwa kinauma mithiri ya mtu aliyechanganyikiwa mara mgongo unauma yaani (ni mateso balaa)
Namuomba Allah atunusuru na gonjwa hili wallah

Mwisho namuomba Allah awahifadhi pahala pema kwenye makaburi yao na awapunguzie adhabu za kaburini na adhabu za moto wa jahannamu

Amiin
 
Mi ninaowajua wanamiaka zaidi ya kumi na ukiwaona huwezi amini kama ni waathirika,ukila vizuri,ukanywa dawa vizuri unapeta tu,hao siku zao zilikuwa zishafika
Loo hiyo ya kunywa dawa kila siku waiotoe wataokoa watu wengi sana
 
Loo hiyo ya kunywa dawa kila siku waiotoe wataokoa watu wengi sana
Hahaha ili wote wanaoumwa wafe sio?,tatzo ni wengi mno,inchi itapoteza nguvu kazu/rasilimali watu,wengine viongozi wa kitaifa,walimu ndo kibao,sasa nchi si itasimama?.
 


Baba anagundua baada ya miaka 5 virusi vishamfanya kitu mbaya.


Me niko kwenye list ya wanaume wachache wanaopima.

Kila baada ya miezi sita napima
 
Wasiishie tu kufurahia kupata takwimu, pia wafikirie madhara yanayoweza kujitokeza kwa watakaochukua maamuzi hasi kutokana na matokeo ya vipimo, wanaweza kuona bora wasingefanya zoezi kuwa la kulazimishana.
 
Popote watakapokukuta!!!!!.....

Nasikia watakuwa wanatembea barabarani kama wale vijana mawakala wa mitandao ya simu
Nakumbuka enzi zile mgambo wanawakimbiza watu wasiolipa kodi na kuwakamata na kuwatia kwenye makarandinga huku wengine wakijificha majumbani na maporini. Nahisi enzi hiyo itajirudia katika zoezi hili la kupimana ngoma kwa lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…