Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Mkuu nina huruma sanaKuwa na huruma.
Hahah huyo alikuwa kakata tamaa na maisha,kuathirika sio mwisho wa maisha,mbona mateja kila asubuhi wako mwananyamala kunywa methadone na hawalalamikiMkuu nina huruma sana
ndo maana nilisema kwanini wasilete chanjo mbadala wa vidonge kila siku katika maisha ya mtu
kuna mtu nilikuwa namjua anaugua alikata tamaa akasema afadhali niende kuliko kuishi kwa kutegemea ......vidonge
sasa watafute hata sindano ya kuchomwa baada ya miezi kadhaa kama sita au kwa mwaka mara moja
hiyo itakuwa afadhali
Methadone na ARV mkuu ni tofautiHahah huyo alikuwa kakata tamaa na maisha,kuathirika sio mwisho wa maisha,mbona mateja kila asubuhi wako mwananyamala kunywa methadone na hawalalamiki
Nafahamu,lakini kwenye maisha kukata tamaa n mwikoMethadone na ARV mkuu ni tofauti
Hawa kina Mshana JR nadhani ni wakati sasa wajitokeze na dawa angalau zinazotibua makali ya VVuNafahamu,lakini kwenye maisha kukata tamaa n mwiko
[emoji13][emoji13][emoji13]kama dawa zipo nitapima kama hakuna tusilazimishane mambo ya hovyo hovyo
Ukishapimwa unawekewa muhuri au??Popote watakapokukuta!!!!!.....
Nasikia watakuwa wanatembea barabarani kama wale vijana mawakala wa mitandao ya simu
Wale wanaopima mara kwa mara hupata wakitakacho.Baba anagundua baada ya miaka 5 virusi vishamfanya kitu mbaya.
Me niko kwenye list ya wanaume wachache wanaopima.
Kila baada ya miezi sita napima
Muhuri unabaki nao moyoni mwako....Ukishapimwa unawekewa muhuri au??
Kwaio wakumkuta mtu anao watampa pesa yakununua matunda namsosi au ndo kuachana nastress usawa huu wavyuma!! pima at your own riskUnakimbia nini?
Utakuja kupima wakati ni too late.
Majibu yote yana faida.
Ukikutwa na VVU unachukua hatua sahihi ( kuepuka maambukizi mapya, kuepuka kuambukiza wengine, na kuzuia usiende kwenye hatua ya UKIMWI).
Ni kama unavyokutwa na kisukari au shinikizo LA damu, hayana tiba ila unazuia complications zake kwa kuyadhibiti.
Ukikutwa huna then unaendeleza mapambano ya kuhakikisha hupati.
Unaogopa kupima Leo kwa kujihisi, unaacha kuchukua tahadhali then unakuja kupata maambukizi many years after ulipojihisi.
Kutokupima ni kujidanganya, utakuja kupimwa ukiwa hata huna nguvu ya kusema sitaki kupimwa.
Wakati ni huu, tukomae kufikia 90, 90, 90 hatimaye VVU/ukimwi vidhibitiwe kama Ukoma.
Hajar ushawahi kupima wewe? Majibu ulisubiria au uliamua kuondoka?Hahahaaaa. Kabisa usemalo Kaka na mienendo ya Me walio wengi wanaijua wenyewe na ndio sababu walio wengi wanajipima kutokana na majibu ya vipimo vya wenza wao. Hawana jeuri ya kupima wao kama wao. Yaani kama Mwenza hana basi na yeye anaamini hana kumbe inaweza kuwa kinyume pia.
Mie sijambo namshukuru Mwenyezi Mungu sijui wewe?
Ndio nshawahi Sesten. Hahaaa. Nilisubiria mpaka mwisho na sikuondoka.Hajar ushawahi kupima wewe? Majibu ulisubiria au uliamua kuondoka?
kumbe hauambukizi kwa kugegedanaHahahaaaa. Kabisa usemalo Kaka na mienendo ya Me walio wengi wanaijua wenyewe na ndio sababu walio wengi wanajipima kutokana na majibu ya vipimo vya wenza wao. Hawana jeuri ya kupima wao kama wao. Yaani kama Mwenza hana basi na yeye anaamini hana kumbe inaweza kuwa kinyume pia.
Mie sijambo namshukuru Mwenyezi Mungu sijui wewe?
Hivyo unataka kusema kila anayegegedana na mwenye ukimwi ni lazima aupate.kumbe hauambukizi kwa kugegedana
Hahahaaa hongera banaNdio nshawahi Sesten. Hahaaa. Nilisubiria mpaka mwisho na sikuondoka.
Vp upande wako na wewe? [emoji85] [emoji85]
@Hajar Kama nakuona vile kimoyo kilivyokuwa kinadunda pale kwenye benchi la kusubiria[emoji23][emoji23]Ndio nshawahi Sesten. Hahaaa. Nilisubiria mpaka mwisho na sikuondoka.
Vp upande wako na wewe? [emoji85] [emoji85]