Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Mkuu nina huruma sanaKuwa na huruma.
ndo maana nilisema kwanini wasilete chanjo mbadala wa vidonge kila siku katika maisha ya mtu
kuna mtu nilikuwa namjua anaugua alikata tamaa akasema afadhali niende kuliko kuishi kwa kutegemea ......vidonge
sasa watafute hata sindano ya kuchomwa baada ya miezi kadhaa kama sita au kwa mwaka mara moja
hiyo itakuwa afadhali