VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hahaaa. Lazima watakuja na mbinu mbadala ambayo ukishakubali kupimwa lazima na majibu usubirie hakuna mambo ya kuja baadae.

Sababu Me walio wengi changamoto ni kwenye kusubiri na kuchukua hayo majibu.
 
Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti na kuvuta picha watu wanavyokaa nusu nusu kama wanataka kukaa chini vile kumbe ni uoga wa majibu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale unaambiwa ndugu acha ngonozembe, jikubali hali yako uwe unafanya mazoez mara sijui ule matunda kwa wingi[emoji23]..
we mtu hata kama ni mzima utaomba kwenda uani tu na ndo kimoja hapo hurudi teena[emoji3]
 
Hahaaa. Lazima watakuja na mbinu mbadala ambayo ukishakubali kupimwa lazima na majibu usubirie hakuna mambo ya kuja baadae.

Sababu Me walio wengi changamoto ni kwenye kusubiri na kuchukua hayo majibu.
Kwa hiyo inamaana Me wanawasiwasi zaidi kupima kuliko Ke kutokana na rafu walizowahi kucheza?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale unaambiwa ndugu acha ngonozembe, jikubali hali yako uwe unafanya mazoez mara sijui ule matunda kwa wingi[emoji23]..
we mtu hata kama ni mzima utaomba kwenda uani tu na ndo kimoja hapo hurudi teena[emoji3]
Hahaaa. Ila sijuagi ni nani aliyewaambia kwamba ile ni njia bora ya kuzungumza na mtu hasa yule aliyekuja kwa hiari yake pasi kushurutishwa.

Wangeachana na hizo Porojo halafu wakazileta baada ya mtu kugundulika kwamba anao hapo ndio ingekuwa bora zaidi na wapimaji wangekuwa wengi tu.
 
nakumbuka kipindi niko UG-kampala kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anaumwa na ali hisi ni malaria sasa akaona isiwe tabu na alikuwa hataki kupima hizi hospital ndogo ndogo maana huwa hawako vizuri sasa ikabidi aende hospitall ya AAG akaingia ndani akatolewa damu bwana wewe kwenye majibu sasa ndo ilikuwa kasheshe jamaa wali mpima na HIV sasa sijui majibu yalitokaje maana ali maindi karibia week nzima, nikamuuliza vipi kwani umekutwa nao akasema hajui ila ana malaria na hakumeza dawa akaenda kutia tungi nahisi alipona,
 
Nakumbuka enzi zile mgambo wanawakimbiza watu wasiolipa kodi na kuwakamata na kuwatia kwenye makarandinga huku wengine wakijificha majumbani na maporini. Nahisi enzi hiyo itajirudia katika zoezi hili la kupimana ngoma kwa lazima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli kabisa
Yanaweza kuibuliwa magonjwa mengine kama presha hivihivi unajiona
 
Wangeanza kupima wanaccm kwakua ndio mabingwa wa kiunga mkono juhudi za awamu hii!
 
Kweli kabisa yaani unaenda kupima kingine halafu unarudi na kingine lol.

Wapunguzage zile tisha tisha kwa kweli.
Kuna mdau kasema hapa wanaume tuna kazi kweli mara tupime tezi dume mara tucheki HIV basi tunaandamwa kwelekweli
 
Hahahaaa, wee Hajar kupima kusikiage hivyohivyo, kama umeshavuka shukuru Mungu
Hahahaaaa. Itabidi siku moja ukiwa unataka kwenda kucheck afya tufuatane kwa kweli ili nione jinsi mapigo ya moyo wako yatakavyokuwa yanaenda. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sijui kama hutaaga Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…