Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nimecheka sana mkuuWanaume tumeumbwa matesoo kupimwa tezi dume sie na hii tena sie doh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana mkuuWanaume tumeumbwa matesoo kupimwa tezi dume sie na hii tena sie doh
Mkuu ni hatar tupu zile dakika za mshauriHuo ushauri nasaha kabla ya majibu ndo unaovunja moyo hata kama hauna..
Unaweza ukamkimbia doctor katikati ya ushauri ujue[emoji23]
Hahaaa. Lazima watakuja na mbinu mbadala ambayo ukishakubali kupimwa lazima na majibu usubirie hakuna mambo ya kuja baadae.Kupima mbona rahisi, kazi kwenye kuchukua majibu. Halafu yule mshauri nasaha anavyoeleza ukikutwa na maambukizi fanya hivi au vile, usiache kutumia dawa na mlolongo kibao mpaka unasema ndio tayari tena nn! Halafu ndio anakuja upande wapili anakwambia kama huna maambukizi endelea kujichunga na blah blah kibao, yaani ni kama vile mshabiki mwenye presure wa Yanga anavyofatilia mechi na Simba, maana sometimes utatamani uzime tV
Hahahaaa. Lol.Hahahaaaa kama ni hivyo nimempenda bureeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale unaambiwa ndugu acha ngonozembe, jikubali hali yako uwe unafanya mazoez mara sijui ule matunda kwa wingi[emoji23]..Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti na kuvuta picha watu wanavyokaa nusu nusu kama wanataka kukaa chini vile kumbe ni uoga wa majibu. Lol
Kwa hiyo inamaana Me wanawasiwasi zaidi kupima kuliko Ke kutokana na rafu walizowahi kucheza?Hahaaa. Lazima watakuja na mbinu mbadala ambayo ukishakubali kupimwa lazima na majibu usubirie hakuna mambo ya kuja baadae.
Sababu Me walio wengi changamoto ni kwenye kusubiri na kuchukua hayo majibu.
Hahaaa. Ila sijuagi ni nani aliyewaambia kwamba ile ni njia bora ya kuzungumza na mtu hasa yule aliyekuja kwa hiari yake pasi kushurutishwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale unaambiwa ndugu acha ngonozembe, jikubali hali yako uwe unafanya mazoez mara sijui ule matunda kwa wingi[emoji23]..
we mtu hata kama ni mzima utaomba kwenda uani tu na ndo kimoja hapo hurudi teena[emoji3]
Ndio Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo inamaana Me wanawasiwasi zaidi kupima kuliko Ke kutokana na rafu walizowahi kucheza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka enzi zile mgambo wanawakimbiza watu wasiolipa kodi na kuwakamata na kuwatia kwenye makarandinga huku wengine wakijificha majumbani na maporini. Nahisi enzi hiyo itajirudia katika zoezi hili la kupimana ngoma kwa lazima.
Kweli kabisaHahaaa. Ila sijuagi ni nani aliyewaambia kwamba ile ni njia bora ya kuzungumza na mtu hasa yule aliyekuja kwa hiari yake pasi kushurutishwa.
Wangeachana na hizo Porojo halafu wakazileta baada ya mtu kugundulika kwamba anao hapo ndio ingekuwa bora zaidi na wapimaji wangekuwa wengi tu.
Dah! Mnavyotusingizia, mi nishaona wanandoa kibao mwanamke anamaambukizi mwanaume hanaNdio Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa yaani unaenda kupima kingine halafu unarudi na kingine lol.Kweli kabisa
Yanaweza kuibuliwa magonjwa mengine kama presha hivihivi unajiona
Hahaaaa. Mbona nyie ndio mnaongoza kwa kutokubali kwenda kupima sasa sesten?Dah! Mnavyotusingizia, mi nishaona wanandoa kibao mwanamke anamaambukizi mwanaume hana
Kuna mdau kasema hapa wanaume tuna kazi kweli mara tupime tezi dume mara tucheki HIV basi tunaandamwa kwelekweliKweli kabisa yaani unaenda kupima kingine halafu unarudi na kingine lol.
Wapunguzage zile tisha tisha kwa kweli.
Hahahaaa, wee Hajar kupima kusikiage hivyohivyo, kama umeshavuka shukuru MunguHahaaaa. Mbona nyie ndio mnaongoza kwa kutokubali kwenda kupima sasa sesten?
Andamaneni tu lakini kupimwa ni lazima. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mdau kasema hapa wanaume tuna kazi kweli mara tupime tezi dume mara tucheki HIV basi tunaandamwa kwelekweli
Hahahaaaa. Itabidi siku moja ukiwa unataka kwenda kucheck afya tufuatane kwa kweli ili nione jinsi mapigo ya moyo wako yatakavyokuwa yanaenda. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaa, wee Hajar kupima kusikiage hivyohivyo, kama umeshavuka shukuru Mungu