Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Zinapatikana katika vituo vya afya. Ukisha fanya majanga yako nenda kituo cha afya cha karibu utapimwa utapewa dawa utumie kwa mwezi mmojaMkuu Vipi Upatikanaji Wa Hizi Dawa Upoje!, namaanisha zinapatikana hadi kwenye maduka ya dawa ya kawaida au Hadi Hospital?.
Kwa sasa inapaswa kucheki mfano figo, ini, CD4 kila baada ya miezi sita. Na ufanye kipimo kipi inategemea unatumia dawa za aina ipiMteja /Mtu anapogundulika ni HIV+... Ni vipimo gani kwa sasa ambavyo huwa anatakiwa kufanya na kwa interval ipi kama vile kwa ajili ya Monitoring ya CD4, kucheki wingi wa virusi, athari za dawa kwa mgonjwa kwenye figo na ini..... Nawaza tuu...
VP kuhusu Gruop la damu linaushawishi wowote wa kumfanya mtu kuwa rahisi au ngumu kupata maambuzi ya HIV!!?Inawezekana kabisa
Hapana hakuna uhusiano wowote kati ya group la damu na hatari ya kupata maambukiziVP kuhusu Gruop la damu linaushawishi wowote wa kumfanya mtu kuwa rahisi au ngumu kupata maambuzi ya HIV!!?
Zinapatikana katika vituo vya afya. Ukisha fanya majanga yako nenda kituo cha afya cha karibu utapimwa utapewa dawa utumie kwa mwezi mmoja
OKW
Wagonjwa wamegawanyika katika makundi matatu. Kuna ambao dalili hujitokeza ndani ya miaka miwili mpaka mitatu, wengi Dalili hujitokeza baada ya miaka nane
Kuna vipimo vya HIV kwa kutumia mate. HIV wanaishi kwenye maji maji yote ya mwili. Lakini hivi vipimo vinapima kinga badala ya HIV wenyeweNiliwahi kuskia kuna njia ya kupima H.I.V kwa kutmia Mate..... Je ni kweli?
kama ni kweli Ao Virus wanaishi nje ya damu pia (maji maji).?
Dawa zote hutolewaAhsante kwa majibu.
(1) Vipi nazo hutolewa bure kama Arvs Au Hizi Zinauzwa?.
(2) mkuu Kama Ukinywa Dawa Hizi Kwanza Harafu Ndipo Ukaenda Kujamiana Na Mwenye Maambukizi Vipi Zinauwezo Wa kukukinga Au Hili Lipoje
(1). Zinatolewa bureAhsante kwa majibu.
(1) Vipi nazo hutolewa bure kama Arvs Au Hizi Zinauzwa?.
(2) mkuu Kama Ukinywa Dawa Hizi Kwanza Harafu Ndipo Ukaenda Kujamiana Na Mwenye Maambukizi Vipi Zinauwezo Wa kukukinga Au Hili Lipoje
Umewahi kumuona kwa microscope???Sina electronic microscope
Asante sana Mkuu. Vipimo vya Figo na Ini vinachekiwa kila baada ya ya muda gani??Kwa sasa inapaswa kucheki mfano figo, ini, CD4 kila baada ya miezi sita. Na ufanye kipimo kipi inategemea unatumia dawa za aina ipi
Kila baada ya miezi sitaAsante sana Mkuu. Vipimo vya Figo na Ini vinachekiwa kila baada ya ya muda gani??
Sina jibu la moja kwa moja..Hivi ARV zina radha gani?
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende !
Hujatoa maelezo sasa, afya kivipi? Genetikia kivipi? N.kSio mara zote mtu unapokutana na mtu mwenye maambukizi ya VVU anaweza kupata maambukizi pia. Kuna sababu mbalimbali zinaweza kusababisha mtu kutopata maambukizi, lakini kwa ufupi kabisa inategemea na afya ya huyu mtu kwa ujumla iwapo anaambukizi mengine, lishe yake, magonjwa ya zinaa, na sababu za kigenetiki na pia aina ya sex waliyofanya pamoja na hali ya afya ya mgonjwa iwapo anatumia dawa
Kazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikaniNaomba ufafanuzi wa dawa za PMTCT zinavyofanya kazi kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto, Mama anapokuwa Mjamzito. Nini hasa husababisha mtoto kuzaliwa HIV Negative na mama yake akiendelea kuwa HIV Positive??!!
Asante.
Kwa mfano maambukizi ya kichocho huongeza hatari ya kupata maambukizi ya VVU nk..Hujatoa maelezo sasa, afya kivipi? Genetikia kivipi? N.k
Natamani ungejibu kitaalamu zaidi..... Natamani kujua zaidi ya hili ulichoandika pekee....Kazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikani