VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Mteja /Mtu anapogundulika ni HIV+... Ni vipimo gani kwa sasa ambavyo huwa anatakiwa kufanya na kwa interval ipi kama vile kwa ajili ya Monitoring ya CD4, kucheki wingi wa virusi, athari za dawa kwa mgonjwa kwenye figo na ini..... Nawaza tuu...
Kwa sasa inapaswa kucheki mfano figo, ini, CD4 kila baada ya miezi sita. Na ufanye kipimo kipi inategemea unatumia dawa za aina ipi
 
Niliwahi kuskia kuna njia ya kupima H.I.V kwa kutmia Mate..... Je ni kweli?

kama ni kweli Ao Virus wanaishi nje ya damu pia (maji maji).?
 
Zinapatikana katika vituo vya afya. Ukisha fanya majanga yako nenda kituo cha afya cha karibu utapimwa utapewa dawa utumie kwa mwezi mmoja

Ahsante kwa majibu.

(1) Vipi nazo hutolewa bure kama Arvs Au Hizi Zinauzwa?.

(2) mkuu Kama Ukinywa Dawa Hizi Kwanza Harafu Ndipo Ukaenda Kujamiana Na Mwenye Maambukizi Vipi Zinauwezo Wa kukukinga Au Hili Lipoje
 
Dawa zote hutolewa
Ukizitumia kabla zinakusaidia kupunguza hatari ya kupata maambukizi

Hata hivyo kinga ni bora kuliko tiba. Zingatia matumizi ya kondom kila mara
 
Ahsante kwa majibu.

(1) Vipi nazo hutolewa bure kama Arvs Au Hizi Zinauzwa?.

(2) mkuu Kama Ukinywa Dawa Hizi Kwanza Harafu Ndipo Ukaenda Kujamiana Na Mwenye Maambukizi Vipi Zinauwezo Wa kukukinga Au Hili Lipoje
(1). Zinatolewa bure
(2). Kuna namna mbili, ya kwanza ni Pre exposure prophylaxis (Prep) , na ya pili ni Post exposure prophylaxis (Pep). Prep ni utumiaji wa dawa (ARV) kwa mtu ambaye hajaathirika ambaye anataka kujamiiana na muathirika bila kutumia kinga,mfano ni ktk serodiscordant couple mkiwa mnataka mtoto. Pep sanasana tunatumiaga sisi tunaofanya mahospitalini endapo bahati mbaya umejichoma na sindano iliyokwisha tumika kwa mtu aliye na maambukizi (hutumika kwa mwezi mzima)
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende !

Naomba ufafanuzi wa dawa za PMTCT zinavyofanya kazi kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto, Mama anapokuwa Mjamzito. Nini hasa husababisha mtoto kuzaliwa HIV Negative na mama yake akiendelea kuwa HIV Positive??!!

Asante.
 
Sio mara zote mtu unapokutana na mtu mwenye maambukizi ya VVU anaweza kupata maambukizi pia. Kuna sababu mbalimbali zinaweza kusababisha mtu kutopata maambukizi, lakini kwa ufupi kabisa inategemea na afya ya huyu mtu kwa ujumla iwapo anaambukizi mengine, lishe yake, magonjwa ya zinaa, na sababu za kigenetiki na pia aina ya sex waliyofanya pamoja na hali ya afya ya mgonjwa iwapo anatumia dawa
Hujatoa maelezo sasa, afya kivipi? Genetikia kivipi? N.k
 
Naomba ufafanuzi wa dawa za PMTCT zinavyofanya kazi kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto, Mama anapokuwa Mjamzito. Nini hasa husababisha mtoto kuzaliwa HIV Negative na mama yake akiendelea kuwa HIV Positive??!!

Asante.
Kazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikani
 
Back
Top Bottom