VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

1.Mama anaweza kumuambukiza mtoto virusi vya UKIMWI katika njia tatu. Akiwa tumboni, wakati wa kujifungua na wakati wa kunyonyesha. Njia nzuri ya kupunguza maambukizi kwa mtoto akiwa tumboni ni mama kutumia dawa za ARV na pili kujifungua kwa njia ya Upasuaji

2. Inawezekana kabisa kuwa na VVU asionyeshe dalili

3.Sasa hivi watu wanaotumia dawa wanaishi muda mrefu zaidi ya miaka 20
 
Zingatia matumizi sahihi ya kondom kila wakati sawa mkuu sasa vp kuhusu mate mana hii bwna unaweza zingatia matumiz ya kondom lakini denda mkuu denda hapo vp??
Kunakitu inaitwa dental dam husaidia kupunguza kupata maambukizi wakati wa kunyonya K
 
Kuna ulazima gani wa kutumia vidonge kila siku? Kwa nini muathirika asitibiwe ugonjwa anao umwa tu mfano kama ana kikohozi?
Akitumia dawa ambazo zinatibu kama TB n.k bila kutumia ARV, 100% huyo mtu atakuwa HIV NEGATIVE baada ya muda kadhaa.
 
Sio kuwa ajipe moyo!! Hilo lipo na linawezekana kabisa. Mtu aka sex na muathirika wa ukimwi, na wakati huyo muathirika hatumii ARV, na bado asipate hata apime mala mia!! Tunataka maelezo ya kitaalamu na sio mipasho
Kuna uwezekano Wa kutopata maambukizi, lakini ni muhimu kutumia kinga muda wote
 
Kuhusu virus kuwa wadogo Lazima electronic microscope hiyo si tu virus Hata bacteria, and some protozoans

Nilichouliza mimi Inasemekana kwamba HIV virus Hamna aliewahi kumwona even using such device. Je ni kweli, if so lete proof mkuu
HAKIJAWAHI KUONEKANA KIRUSI CHA HUYO ANAYESABABISHA UKIMWI, NI SAWA NA UNAVYOAMBIWA DUNIA NI DUARA ILA NI KARNE YA 21 SASA TUNA SATELITES NYINGI ANGANI ILA HAKUNA PICHA AMBAYO NI HALISI YA SAYARI YA DUNIA.

UKIMWI upo kwa mtu yoyot yule, UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini, UKIMWI tukaanza kudanganywa kuwa waletwa na VVU ambae kiuhalisia mpaka naandika Comment hii HAKUNA MWANASAYANSI ALIYEWAHI KUMUONA HUYO VIRUS.
 

1.Gallo ni mtaalam wa virology. Aligundua virusi zinasababisha HIV kwa mara ya kwanza
2.Sample za damu zilizochukuliwa kongo miaka ya 60 imekuja kugundulika zilikuwa na virus vya HIV
3.TOFAUTISHA KUTIBU(TREAT) NA KUPONYA(CURE) .kwa sasa hakuna dawa za kuponya UKIMWI, lakini dawa za kutibu UKIMWI zipo
 
Twende hivi
Kuna magonjwa mengi yanayosabisha upungufu wa kinga mwilini. Magonjwa hayo mtu anaweza kuzaliwa nayo au kuyapata baada ya kuzaliwa.
UKIMWI ni upungufu wa kinga ambao mtu anaweza kupata baada ya kuzaliwa (mara nyingi) ambao unasababishwa na virus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…