Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Nasubiri hiyo paper yako!
Unazungumzia hypothesis...nafikiri una concrete scientific evidence...Ondoa shaka katika hilo.Naomba uwe open minded najuwe ni mfuatiliaji wa elimu mbalimbali bila mipaka. Je umewahi kumsikiliza huyu daktari Dr duesberg
Unazungumzia hypothesis...nafikiri una concrete scientific evidence...
Theory zake zilisha kataliwa. Kama hujui analaumiwa kusababisha idadi ya wagonjwa wa HIV kufariki sana SOUTH AFRICA wakati wa utawala wa Thabo Mbeki.Hizo proof naziweka hapa kwa faida ya wengi.Je huyo daktari unamjuwa umewahi kusikiliza speeches zake na hata kupitia vitabu vyake about hiv and aids.
Huyo ni prof
This correlation hypothesis has been disproven by evidence showing that only HIV infection, not homosexuality nor recreational/pharmaceutical drug use, predicts who will develop AIDS.[5][7][30][31][32]Ondoa shaka katika hilo.Naomba uwe open minded najuwe ni mfuatiliaji wa elimu mbalimbali bila mipaka. Je umewahi kumsikiliza huyu daktari Dr duesberg
Theory zake zilisha kataliwa. Kama hujui analaumiwa kusababisha idadi ya wagonjwa wa HIV kufariki sana SOUTH AFRICA wakati wa utawala wa Thabo Mbeki.
Mtoto ana weza kupata maambukizi akiwa tumboni. Lakini matumizi ya ARV hupunguza hatari ya mtoto kupata maambukiziIvi mjamzito aliyeathirika na VVU inawezekanaje akawa na ujauzito afu mtoto asiathirike, na pia HIV anakua kaipata baada ya ujauzito au inawezekana waathirika wakapeana mimba baada ya kuathirika na kuzaa mtoto asiyeathirika na HIV?
Madai yake yalishapigwa...madai yake mengi ni ya model ya kihisabati. Sio ya kiepedemolijiaKumbe unamfuatilia basi nakupa ongera kwa kuangalia another side of the coin. Je hoja zake hazina maana kuhusu hiv na aids?
We unadhani daktari bingwa kama huyu alikurupuka kunena hayo na kuandika vitabu mbalimbali kuhusu hiv hypothesis?
Kwanini madai yake yasipewe majibu mujarabu ili asiendelee kudanganya wengine kama alivyofanya SA?
Mbona anaendelea kutoa elimu hadi leo hii
Ngoja nikuulize swali wakati gani mtu anapewa dawa za ARV...Kumbe unamfuatilia basi nakupa ongera kwa kuangalia another side of the coin. Je hoja zake hazina maana kuhusu hiv na aids?
We unadhani daktari bingwa kama huyu alikurupuka kunena hayo na kuandika vitabu mbalimbali kuhusu hiv hypothesis?
Kwanini madai yake yasipewe majibu mujarabu ili asiendelee kudanganya wengine kama alivyofanya SA?
Mbona anaendelea kutoa elimu hadi leo hii
Madai yake yalishapigwa...madai yake mengi ni ya model ya kihisabati. Sio ya kiepedemolijia
Kwaiyo hata kama wazazi wote wawili wameathirika wanauwezo wa kupeana mimba na kupata mtoto asiyeathirikaMtoto ana weza kupata maambukizi akiwa tumboni. Lakini matumizi ya ARV hupunguza hatari ya mtoto kupata maambukizi
Ndio kuna uwezekano kabisaKwaiyo hata kama wazazi wote wawili wameathirika wanauwezo wa kupeana mimba na kupata mtoto asiyeathirika
je ndani ya io miaka nane ya kabla dalili hazijajionyesha,kuna uwezekano akapimwa akawa yuko negative ?W
Wagonjwa wamegawanyika katika makundi matatu. Kuna ambao dalili hujitokeza ndani ya miaka miwili mpaka mitatu, wengi Dalili hujitokeza baada ya miaka nane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena kimbia mbio za mbwa mwizi.... Wala usigeuke nyuma...... Tehe Tehe Tehe.....!!! Mtag na mwenzio huyo ......
Kweli hukuwahi kusikia mahali?To me this is breaking news.
Naendelea kupata darsa.
Kabisa,ni habari mpya kwangu.Kweli hukuwahi kusikia mahali?
Cha muhimu, tuwe makini.
Soma the story behind computer generated images (CGI)Bakteria wengi wanaonekana kwa microscope za kawaida. Virus wa HIV waneonekana kuanzia zamani. Na sasa hivi wanaonekana kwa kutumia 3D electronic microscope. Pitia hii article kutoka PubMed
Catching HIV ‘in the act’ with 3D electron microscopy