VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Ondoa shaka katika hilo.Naomba uwe open minded najuwe ni mfuatiliaji wa elimu mbalimbali bila mipaka. Je umewahi kumsikiliza huyu daktari Dr duesberg
Unazungumzia hypothesis...nafikiri una concrete scientific evidence...
 
Hizo proof naziweka hapa kwa faida ya wengi.Je huyo daktari unamjuwa umewahi kusikiliza speeches zake na hata kupitia vitabu vyake about hiv and aids.
Huyo ni prof

Theory zake zilisha kataliwa. Kama hujui analaumiwa kusababisha idadi ya wagonjwa wa HIV kufariki sana SOUTH AFRICA wakati wa utawala wa Thabo Mbeki.
 
Ondoa shaka katika hilo.Naomba uwe open minded najuwe ni mfuatiliaji wa elimu mbalimbali bila mipaka. Je umewahi kumsikiliza huyu daktari Dr duesberg
This correlation hypothesis has been disproven by evidence showing that only HIV infection, not homosexuality nor recreational/pharmaceutical drug use, predicts who will develop AIDS.[5][7][30][31][32]
 
Ivi mjamzito aliyeathirika na VVU inawezekanaje akawa na ujauzito afu mtoto asiathirike, na pia HIV anakua kaipata baada ya ujauzito au inawezekana waathirika wakapeana mimba baada ya kuathirika na kuzaa mtoto asiyeathirika na HIV?
 
Kumbe unamfuatilia basi nakupa ongera kwa kuangalia another side of the coin. Je hoja zake hazina maana kuhusu hiv na aids?
We unadhani daktari bingwa kama huyu alikurupuka kunena hayo na kuandika vitabu mbalimbali kuhusu hiv hypothesis?
Kwanini madai yake yasipewe majibu mujarabu ili asiendelee kudanganya wengine kama alivyofanya SA?
Mbona anaendelea kutoa elimu hadi leo hii
Theory zake zilisha kataliwa. Kama hujui analaumiwa kusababisha idadi ya wagonjwa wa HIV kufariki sana SOUTH AFRICA wakati wa utawala wa Thabo Mbeki.
 
Ivi mjamzito aliyeathirika na VVU inawezekanaje akawa na ujauzito afu mtoto asiathirike, na pia HIV anakua kaipata baada ya ujauzito au inawezekana waathirika wakapeana mimba baada ya kuathirika na kuzaa mtoto asiyeathirika na HIV?
Mtoto ana weza kupata maambukizi akiwa tumboni. Lakini matumizi ya ARV hupunguza hatari ya mtoto kupata maambukizi
 
Kumbe unamfuatilia basi nakupa ongera kwa kuangalia another side of the coin. Je hoja zake hazina maana kuhusu hiv na aids?
We unadhani daktari bingwa kama huyu alikurupuka kunena hayo na kuandika vitabu mbalimbali kuhusu hiv hypothesis?
Kwanini madai yake yasipewe majibu mujarabu ili asiendelee kudanganya wengine kama alivyofanya SA?
Mbona anaendelea kutoa elimu hadi leo hii
Madai yake yalishapigwa...madai yake mengi ni ya model ya kihisabati. Sio ya kiepedemolijia
 
Ngoja nikuulize swali wakati gani mtu anapewa dawa za ARV...
 
Naomba huu mjadala tuupe nafasi kesho.Mimi sio daktari ila napenda kujifunza.You need to a little about a lot hii ndo kanuni yangu
Madai yake yalishapigwa...madai yake mengi ni ya model ya kihisabati. Sio ya kiepedemolijia
 
Mtoto ana weza kupata maambukizi akiwa tumboni. Lakini matumizi ya ARV hupunguza hatari ya mtoto kupata maambukizi
Kwaiyo hata kama wazazi wote wawili wameathirika wanauwezo wa kupeana mimba na kupata mtoto asiyeathirika
 
W

Wagonjwa wamegawanyika katika makundi matatu. Kuna ambao dalili hujitokeza ndani ya miaka miwili mpaka mitatu, wengi Dalili hujitokeza baada ya miaka nane
je ndani ya io miaka nane ya kabla dalili hazijajionyesha,kuna uwezekano akapimwa akawa yuko negative ?
 
Je n kwel makampuni yanayo tengeneza ARV yana utajr wa kutosha kulko kampuni la APPLE?
 
Uyu jamaa n muongo maana mpk saiv duniaan hakuna publication inayosema huyu ndiye HIV virus
Kid stop lying kama huna ukwel tafuta ela kanywe biaa tupo kwenye masherehe saiv
Matango pori ya semina zenu pelekea wasiojuaa
 
  • Thanks
Reactions: B51
Back
Top Bottom