VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

With all due respect, naomba ufafanue kidogo kuhusu maambukizi na genetics lakini pia ningependa kufahamu ni kweli kuwa kuna kundi/makundi ya damu hayana receptors za HIV?
 
papa mobimba!
mwanangu ( miaka2.4) alimgang'ata mjomba wake ambaye ni HIV+ adi kumuachia alama/kidonda mkoni, ebu nipe chance /probability ya mwanangu kuambukizwa HIV, since then sijawahi kuwa na amani moyoni na kumpeleka kupima roho inauma inakataa .......
 
With all due respect, naomba ufafanue kidogo kuhusu maambukizi na genetics lakini pia ningependa kufahamu ni kweli kuwa kuna kundi/makundi ya damu hayana receptors za HIV?
Kuna watu ambao genetically hawako susceptible na kupata maambukizi ya VVU. Hii ikoje .. iko hivi kuna baadhi ya watu hawana vitu CCRK5 (hizi ni aina ya protein) .sasa kama utarithi allele mbili seli zako za damu zitakosa hizo protein. Hivyo HIV wakiingia kwenye mwili watashindwa kushambulia seli zako.

Na hii sio makundi ya damu. Hii ni mtu na mtu bila kujali kundi lake la damu
 
Risk ya kupata maambukizi ya VVU ipo. Lakini pia inategemea na ngozi yake ya mdomoni ilikuwaje. Pili njia nzuri ya kujua ni kupima. Na ukimpeleka kumpima utamtendea haki. Nenda braza.
 
The infected cell Burst and release the new virus that goes to infected new cells and the vicious cycle of infection continue.Lol
 
With all due respect, naomba ufafanue kidogo kuhusu maambukizi na genetics lakini pia ningependa kufahamu ni kweli kuwa kuna kundi/makundi ya damu hayana receptors za HIV?
Pamoja na swali hili? Inasemekana kuwa kuna watu ambao ni waasirika/wana HIV ila ni "passive" (carriers) yaani wao hawana AIDS/UKIMWI lakini wanaweza kuambukiza wengine kama kawaida.

1. Je, uvumi huu ni wa kweli?
2. Je, ni kweli carriers hawa wao huwaga hawapati UKIMWI/AIDS ktk maisha yao yote?. na kwamba huwaga hawapotezi maisha 7bu ya UKIMWI/AIDS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…