VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kwanza lazima ujue ili ugonjwa wowote umuambikize mtu lazima apate kiasi cha kutosha kusababisha maambukizi hii kwa kitaalam inaitwa infectious dose
Unamaanisha kuwa hata hiv wakiingia kwa kiasi kidogo huwa kuna uwezekano wakudhibitiwa totaly na kinga ya mwili?
 
Huyu mleta mada anajiona anajua sana Kushinda watu wengine . 100% anayoandika humu ni muendelezo ule ule wa propaganda za HIV ili wafanye biashara za ARVs.


Anaongelea HiV wakati hakuna Daktari yoyote hapa Tanzania amewahi kumuona hiyo virusi. Ni kweli hakuna HIV. Hakuna hicho kirusi. Acha kueneza sumu humu. Nimekwambia weka Microscopic image za HIV umeishia kunijibu pumba. Utasemaje HIV ipo wakati hujawahi muona kama unavyoona virus wengine!!!!

Mnaokula sumu za Huyu "HOAX DOCTOR" please muombeni aweke hicho ninachomuomba ili aufanye Mjadala huu kuwa valid otherwise ni mwendelezo wa hadithi zile zile.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daud1990, Una amini kama virusi wapo hafu huamini kama kuna virus wa HIV. Nimekutumia link, soma uone picha. Sijui unataka picha za virusi wanapiga selfie. Na watu kama wewe ndio huwa mmnajazana ujinga huko mtaani. Inawezekana hapo ulipo unazo ARV zako kwenye pochi. Maana denial huwa ni hatua ya awali kwa watu wengi
 
Je, baba anaweza kuleta HIV NDANI ya nyumba ila dalili zianze kuonekana kwa mama?
 
Shukrani mleta mada kwa uzi huu wenye kuelimisha, Naomba unielimishe yafuatayo binafsi nina mgonjwa wa HIV ambae namuhudumia kwa karibu na zifuatazo ni changamoto ambazo ameanza kuzipitia alipogundulika na maambukizi pamoja na kuanza dawa:-
1.Mkono na miguu ilikuwa inakufa ganzi na pia mdomo unaenda upande anakuwa kama anataka kupooza,tumejaribu kubadili dawa lakini bado hali hii haijaisha kabisa
2.Masikio yameziba,dokta akasema ni virus ndio wameshambulia nerves na kumsababishia hali hiyo.
3.Kuna muda anasikia kama watu wanamsemesha masikioni na anakuwa anaongea peke yake nini huweza kuwa chanzo?
4.Matumizi ya ceptrine yanasaidia nini?maana kila akinywa anasema zinamzidi nguvu na anataka kuziacha.
Natanguliza shukrani za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.
Mwanaume akiejaculate ana mweka mwanamke katika hali kubwa ya kupata maambukizi

Umesema ni mpaka mchubuke ndo utapata
Af ukasema majimaji yana virusi na sperms zina virusivingi sana
Unachanganya mkuu
 
Usidanganye watu...wewe unapofanya ngono damu huwa zinatoka... nimeweka hii topic kwa ajili ya kuelimisha watu. Don't mislead the public.

HIV is an epidemic. And we are fighting the war

Chances are always low
Ndo maana waathirika hawaongezeki kwa pap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…