uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Hili swali mpaka mwisho wa dunia sayansi haitajibu zaidi ya imani labdaNi kweli HIV ni pepo lililotengenezwa na fremanson ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali mpaka mwisho wa dunia sayansi haitajibu zaidi ya imani labdaNi kweli HIV ni pepo lililotengenezwa na fremanson ??
Unamaanisha kuwa hata hiv wakiingia kwa kiasi kidogo huwa kuna uwezekano wakudhibitiwa totaly na kinga ya mwili?Kwanza lazima ujue ili ugonjwa wowote umuambikize mtu lazima apate kiasi cha kutosha kusababisha maambukizi hii kwa kitaalam inaitwa infectious dose
Ahsante ubarikiwe sanaHistoria inasema hivi janga la sasa la HIV inawezekana lilianza miaka ya 1930, hata hivyo ugonjwa ulianza kuenea kwa kasi sana miaka ya 1970. Hata hivyo Kwa Mara ya kwanza UKIMWI ULILIPOTIWA TRH 5JUNE 1981
Sikumbuki lakin nshawahi soma mahali kuwa kuna watu wanakuwa nao na akipimwa anaonekana anao lakini havina uwezo wa kumdhuru kwa namna ambavyo inawadhuru wengine,Hapana. HIV haina carrier. Ni ama mtu ana maambukizi au hana.
Mungu wangu,Mgonjwa akiacha dawa maana yake ni rahisi virusi kuwa sugu. Lakini sio kweli kwamba huwa wanawahi kufa
Isingekuwa hivyo dunia ingekuwa imekwishaUnamaanisha kuwa hata hiv wakiingia kwa kiasi kidogo huwa kuna uwezekano wakudhibitiwa totaly na kinga ya mwili?
Unajibu kitaalamu sie ngumbalu hata hatuelewiKuna magonjwa mengi hayacross react na HIV.
Tena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.
Mwanaume akiejaculate ana mweka mwanamke katika hali kubwa ya kupata maambukizi
Sasa bila mchubuko hayo majimaji yataingiaje??Umesema ni mpaka mchubuke ndo utapata
Af ukasema majimaji yana virusi na sperms zina virusivingi sana
Unachanganya mkuu
Na umefunga kweli mwaka
Usidanganye watu...wewe unapofanya ngono damu huwa zinatoka... nimeweka hii topic kwa ajili ya kuelimisha watu. Don't mislead the public.
HIV is an epidemic. And we are fighting the war