Hahahaaaaaaa. Usinikumbushe kuna rafiki yangu mmoja anasema alienda na mwenza wake kupima wakati wanasubiria majibu Me akamwambia nakuja akatoka nje yule dada anasema muda wa majibu wanaitwa waingie kwa Dr mwenzie hajarudi alichokifanya si akamfuata nje hakumuona jamaa ikabidi asogee mbele zaidi akamkuta jamaa kakaa kwenye kituo cha daladala anakaribia kupanda gari aondoke.Mie mzima pia, namshukuru Maulana.
Kuna watu huwa wanaenda kupima then wanabadili gia angani na kukimbia majibu kimoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hofu ni kuambiwa kuwa you're HIV+
Watanikuta wapi?
wanaanza lini kupima?Ikiwezekana wapimwe tu kwa kweli.
Hahaaaa. Ila sipati picha walio wengi mapigo ya moyo yatakavyokuwa yanawadunda hasa ule wakati wa majibu.
hahaha Tanzania bwanaPopote watakapokukuta!!!!!.....
Nasikia watakuwa wanatembea barabarani kama wale vijana mawakala wa mitandao ya simu
Sasa ivi vituo vyote vya afya ukienda kupima malaria au ugonjwa wowote na ukimwi wanapima pia. Ni sheria wamepewa vituo vya afya, ni LAZIMA sio OMBIWatanikuta wapi?
Hahaaaaa! Hofu mbaya sana, na hapo majibu ni mawili tu, either you're -ve or +ve, sasa shughuli ni kwenye kusubiria coz hutajua yatakujaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaaaa. Usinikumbushe kuna rafiki yangu mmoja anasema alienda na mwenza wake kupima wakati wanasubiria majibu Me akamwambia nakuja akatoka nje yule dada anasema muda wa majibu wanaitwa waingie kwa Dr mwenzie hajarudi alichokifanya si akamfuata nje hakumuona jamaa ikabidi asogee mbele zaidi akamkuta jamaa kakaa kwenye kituo cha daladala anakaribia kupanda gari aondoke.
Ila tusubiri tuone kama itakuja kuwezekana kupimwa wanaume wote.
Usalama wa vijana lazima uzingatiweHalafu na polisi wa kuimarisha ulinzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaa that would be a psychological torture! Unapimwa kwa lazima na kukabidhiwa majibu yako kwa lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usalama wa vijana lazima uzingatiwe
Mbona una wasiwasi sana, halafu hii ni kwa wanaume kwanza.Jamani si walete chanjo au imeishia wapi,,wakileta chanjo unapimwa ndio unapewa chanjo kama huna HIV sasa hii kulazimishana vepeee vepee
Sina hata wasiwasi walete chanjo haraka watuchome sijui tunyweMbona una wasiwasi sana, halafu hii ni kwa wanaume kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unazinguaaaSina hata wasiwasi walete chanjo haraka watuchome sijui tunywe
Eee ili maambukizi yajome au nasema urongo,,we hutaji chanjo ushaukwaa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unazinguaaa
Tema mate chini!! Namshukuru MUNGU mi niko fresh kama cucumber!!Eee ili maambukizi yajome au nasema urongo,,we hutaji chanjo ushaukwaa?