Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaaaaa. Usinikumbushe kuna rafiki yangu mmoja anasema alienda na mwenza wake kupima wakati wanasubiria majibu Me akamwambia nakuja akatoka nje yule dada anasema muda wa majibu wanaitwa waingie kwa Dr mwenzie hajarudi alichokifanya si akamfuata nje hakumuona jamaa ikabidi asogee mbele zaidi akamkuta jamaa kakaa kwenye kituo cha daladala anakaribia kupanda gari aondoke.Mie mzima pia, namshukuru Maulana.
Kuna watu huwa wanaenda kupima then wanabadili gia angani na kukimbia majibu kimoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hofu ni kuambiwa kuwa you're HIV+
Ila tusubiri tuone kama itakuja kuwezekana kupimwa wanaume wote.