VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Mie mzima pia, namshukuru Maulana.
Kuna watu huwa wanaenda kupima then wanabadili gia angani na kukimbia majibu kimoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hofu ni kuambiwa kuwa you're HIV+
Hahahaaaaaaa. Usinikumbushe kuna rafiki yangu mmoja anasema alienda na mwenza wake kupima wakati wanasubiria majibu Me akamwambia nakuja akatoka nje yule dada anasema muda wa majibu wanaitwa waingie kwa Dr mwenzie hajarudi alichokifanya si akamfuata nje hakumuona jamaa ikabidi asogee mbele zaidi akamkuta jamaa kakaa kwenye kituo cha daladala anakaribia kupanda gari aondoke.

Ila tusubiri tuone kama itakuja kuwezekana kupimwa wanaume wote.
 
No driving license without updated HIV status ( within three months)

No bank transactions without updated HIV status

No school enrollment/ registration without updated HIV status.

No business registration without updated HIV status.

No inter district travell without updated HIV status.

Criminal offense by law not take measures to prevent mother to child transimision.

No job/ employment without updated HIV status, e.t.c.

No national identity card / kitambulisho cha mpiga kura without updated HIV status.

Entry point ya mapambano haya ni kujua hali yako ya maambukizi ya VVU mengine yanafuata.

Kwenye kuzuia maambuki ya VVU tunahitaji measures ambazo kidogo zinapunguza huo uhiari na Uhuru wa kujiamulia kupima au lah.

Tuna wajibu wa kujikinga na kuwakinga wengine.
 
Kwa sheria gani watatumia?? uwezi kumpima mtu kwanguvu labda lengo kama nitofauti na maelezo waliyoyatoa chakushangaza ni kwanini zoezi liendeshwe kwa jinsia ya kiume tu mpaka hapo wamefeli kunakitu ccm wanatafuta kua makini sana na hawa watu mim nawashauri wawapime wanachama wa ccm mbona ni wengi sana nchizima.......Hawa watu wameisha poteza uaminifu kwenye jamii mipango ya mingi haina masilai ya wengi ukienda kichwa kichwa unaweza kupewa Libwata la ccm made in china kwasabu wanaume hampendi ccm
 
Wanaume mtakaopima mnachokitafuta mtakipata...

Unakuta mtu huumwi kitu, ugomjwa wenyewe hauna dawa sasa unapima ili iweje??
 
Watanikuta wapi?

Hilo linawezekana kwa kuweka utaratibu ambao utakuwa endelevu kwa muda Fulani pengine miaka 5 au 10... Lkn bajeti ya arv na vifaa tiba, vipimo na madawa mengine kwa wagonjwa itaongezeka...

Njia za upimaji ni pamoja na kupima wafanyakazi wote wakiume kwa lazima, wanaume wanaongia nchini nao wapi me kwa lazima, wanafunzi wakiume nao wapime kwa lazima.. tuanzie hapo.
 
Hiyo ni Kiki tu kama kiki ngingine, hamna kitu hapo..[emoji3]
Hivi tezi dume inaendeleaje? Washawapima wangapi?
 
Hahahaaaaaaa. Usinikumbushe kuna rafiki yangu mmoja anasema alienda na mwenza wake kupima wakati wanasubiria majibu Me akamwambia nakuja akatoka nje yule dada anasema muda wa majibu wanaitwa waingie kwa Dr mwenzie hajarudi alichokifanya si akamfuata nje hakumuona jamaa ikabidi asogee mbele zaidi akamkuta jamaa kakaa kwenye kituo cha daladala anakaribia kupanda gari aondoke.

Ila tusubiri tuone kama itakuja kuwezekana kupimwa wanaume wote.
Hahaaaaa! Hofu mbaya sana, na hapo majibu ni mawili tu, either you're -ve or +ve, sasa shughuli ni kwenye kusubiria coz hutajua yatakujaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maswala ya kuumbuana hayo na kunyosheana vidole ndio nini sasa
 
Halaf wanaume tabia ya kutusakizia tukapime mnaangalia majibu yetu kama kipimo kwenu mkome,,leo sasa kuoikwa lazimaaa[emoji23][emoji23]

Halaf mbona sioni sheria kali ya mtu akimuambujiza mwenzie HIV kwa makusudi
 
Back
Top Bottom