Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa! Kupima ngoma ni noma hasa ukiwa huna uhakika na mienendo yako!!Ikiwezekana wapimwe tu kwa kweli.
Hahaaaa. Ila sipati picha walio wengi mapigo ya moyo yatakavyokuwa yanawadunda hasa ule wakati wa majibu.
Halafu na polisi wa kuimarisha ulinzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Popote watakapokukuta!!!!!.....
Nasikia watakuwa wanatembea barabarani kama wale vijana mawakala wa mitandao ya simu
Ikiwezekana wapimwe tu kwa kweli.
Hahaaaa. Ila sipati picha walio wengi mapigo ya moyo yatakavyokuwa yanawadunda hasa ule wakati wa majibu.
Hahahaaaa. Kabisa usemalo Kaka na mienendo ya Me walio wengi wanaijua wenyewe na ndio sababu walio wengi wanajipima kutokana na majibu ya vipimo vya wenza wao. Hawana jeuri ya kupima wao kama wao. Yaani kama Mwenza hana basi na yeye anaamini hana kumbe inaweza kuwa kinyume pia.Hahaaaaa! Kupima ngoma ni noma hasa ukiwa huna uhakika na mienendo yako!!
Mzima lakini Hajar!
Wana ujuzi wa kukwepa vitu vyenye ncha kali?Popote watakapokukuta!!!!!.....
Nasikia watakuwa wanatembea barabarani kama wale vijana mawakala wa mitandao ya simu
Mie mzima pia, namshukuru Maulana.Hahahaaaa. Kabisa usemalo Kaka na mienendo ya Me walio wengi wanaijua wenyewe na ndio sababu walio wengi wanajipima kutokana na majibu ya vipimo vya wenza wao. Hawana jeuri ya kupima wao kama wao. Yaani kama Mwenza hana basi na yeye anahamini hana kumbe inaweza kuwa kinyume pia.
Mie sijambo namshukuru Mwenyezi Mungu sijui wewe?
Hahaaa. Inataka moyo Mkuu.Siku moja pale Mwananyamala nilikuwa kwenye benchi namsubiri Dr wangu na nikijisomea magazeti yangu, kumbe nimekaa benchi lao bwana..basi mmoja baada ya kusikia aliyeeingia ndani anaangua kilio alisema.. "mie basi.." huyooooo akaishia gate la kutoka nje