VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hakuna namna, wanaume sisi ni wabishi wa kupima na kujua afya zetu na hivyo tunasababisha kuendelea kusambaa kwa VVU. Nilifanya kazi CTC, wateja asilimia 60+ ni wanawake kwa kuwa wao sio wagumu wa kucheki afya na pia ni LAZIMA wapime VVU wakianza Maternal Clinic.

Mama akigundua ni HIV positive kimbembe kinakuja ataanzaje kumwambia baba, mwisho wa siku anaanza dawa kimya kimya.
 
Ikiwezekana wapimwe tu kwa kweli.

Hahaaaa. Ila sipati picha walio wengi mapigo ya moyo yatakavyokuwa yanawadunda hasa ule wakati wa majibu.

Siku moja pale Mwananyamala nilikuwa kwenye benchi namsubiri Dr wangu na nikijisomea magazeti yangu, kumbe nimekaa benchi lao bwana..basi mmoja baada ya kusikia aliyeeingia ndani anaangua kilio alisema.. "mie basi.." huyooooo akaishia gate la kutoka nje
 
Hahaaaaa! Kupima ngoma ni noma hasa ukiwa huna uhakika na mienendo yako!!

Mzima lakini Hajar!
Hahahaaaa. Kabisa usemalo Kaka na mienendo ya Me walio wengi wanaijua wenyewe na ndio sababu walio wengi wanajipima kutokana na majibu ya vipimo vya wenza wao. Hawana jeuri ya kupima wao kama wao. Yaani kama Mwenza hana basi na yeye anaamini hana kumbe inaweza kuwa kinyume pia.

Mie sijambo namshukuru Mwenyezi Mungu sijui wewe?
 
Hahahaaaa. Kabisa usemalo Kaka na mienendo ya Me walio wengi wanaijua wenyewe na ndio sababu walio wengi wanajipima kutokana na majibu ya vipimo vya wenza wao. Hawana jeuri ya kupima wao kama wao. Yaani kama Mwenza hana basi na yeye anahamini hana kumbe inaweza kuwa kinyume pia.

Mie sijambo namshukuru Mwenyezi Mungu sijui wewe?
Mie mzima pia, namshukuru Maulana.
Kuna watu huwa wanaenda kupima then wanabadili gia angani na kukimbia majibu kimoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hofu ni kuambiwa kuwa you're HIV+
 
Siku moja pale Mwananyamala nilikuwa kwenye benchi namsubiri Dr wangu na nikijisomea magazeti yangu, kumbe nimekaa benchi lao bwana..basi mmoja baada ya kusikia aliyeeingia ndani anaangua kilio alisema.. "mie basi.." huyooooo akaishia gate la kutoka nje
Hahaaa. Inataka moyo Mkuu.

Na huyo utakuta anajua nyendo zake zilivyo hivyo akajione cha kulia nini bora asepe zake. Lol
 
Back
Top Bottom