Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Yaan badala aseme ili watu wengi wafaidike anataka atafutwe.Mkuu ebu fafanua vizuri hpo kwenye suluhisho la huu ugonjwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan badala aseme ili watu wengi wafaidike anataka atafutwe.Mkuu ebu fafanua vizuri hpo kwenye suluhisho la huu ugonjwa.
Kutokana na maendeleo ya teknolojia,kwa suala la watoto inawezekana kupatikana kwa njia ya kupandikiza mbegu, na sex mukawa munafanya kwa kutumia kinga, ila kusema awe wet ndio uingie bado ni probability sana.
Harafu ww uwek nusu saa uupateyani ikifikia hatua hii ndio huwa nashindwa kuuwelewa huu ugonjwa,hivi mama amuweke tumboni mtoto miezi 9 alafu mtoto azaliwe bila kuwa na UKIMWI
Mkuu ebu fafanua vizuri hpo kwenye suluhisho la huu ugonjwa.
Yaan badala aseme ili watu wengi wafaidike anataka atafutwe.
Mkuu twende polepole ili tupone kinachotokea hpo nikupta kinga tu au tiba kabisa ??? Tunaulza hivyoo ili tujue maana tuna ndgu zetu ambao wanahaya matatizo,last time Kuna ndgu yangu wakike alipata mchumba shekhe akaja akafunga ndoa mama akamuliza mmepima akajibu Hpna wakaamuriwa walale pale nyumbni bila kuwa pamoja siku iliyo fuata mama akawachukua hdi kwa dactari kijana akawa amethirika dada Yuko salama na kwabahti nzuri Hawja shiriki tendo.ndugu nifafanue nini tena ndo hivyo suluhisho lipo kama unahitaji unakutana na medical doctor anakupa maelezo ya kitaalamu, ni mambo genuine kabisa
Hahahahah nilidhani naziona peke yangu tu, something is wrong somewhereLeo JF imekuaje since morning ni thread za ngoma,ukimwi,HiV,umeme,Aids ,ngwengwe[emoji41] [emoji41]
Mkuu twende polepole ili tupone kinachotokea hpo nikupta kinga tu au tiba kabisa ??? Tunaulza hivyoo ili tujue maana tuna ndgu zetu ambao wanahaya matatizo,last time Kuna ndgu yangu wakike alipata mchumba shekhe akaja akafunga ndoa mama akamuliza mmepima akajibu Hpna wakaamuriwa walale pale nyumbni bila kuwa pamoja siku iliyo fuata mama akawachukua hdi kwa dactari kijana akawa amethirika dada Yuko salama na kwabahti nzuri Hawja shiriki tendo.
NB; MEDICAL DOCTOR UNAO WAZUNGUMZIA TUNAO WAJUA TULIO WENGI WANASHAURI KUTUMIA ARV,AU KUNA WENGINE ZAIDI YA HAO???NAOMBA TUANZIE HPO KWANZA.
Nyie watu hahaaasHarafu ww uwek nusu saa uupate
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]ok nakushukuru sana ndugu yangu kwa maelezo mazuri, nianze hivi kwa kweli ma medical doctors ninaowazungumzia ni wataalamu na mmoja anafanya kazi hospitali yetu ya Taifa na hii tiba anaijua na kuielezea kitaalamu zaidi. Mambo ya ARV sahau hawawezi kushauri mtu atumie hizo dawa maana wanayajua madhara yake.
Kuhusu iwapo hiyo tiba inatoa kinga au kuponya ninachojua ile inazalisha seli-kinga (CD4) za kutosha na kuupa mwili nguvu ya kupambana na magonjwa yoyote. Hayo ndo maelezo ya mimi mfuatiliaji wa masuala ya afya. Maelezo ya kitaalamu zaidi yatatolewa na doctor.
Naamini mpaka hapo tuko pamoja. SORRY kama maelezo yangu ya awali yalikukwaza.