VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kutokana na maendeleo ya teknolojia,kwa suala la watoto inawezekana kupatikana kwa njia ya kupandikiza mbegu, na sex mukawa munafanya kwa kutumia kinga, ila kusema awe wet ndio uingie bado ni probability sana.

Sawa asante...
 
Pia kama akifuata vzr ratiba ya dozi, virus huzimia kabisa hvyo unaweza ukasex without protection na usipate, bt awe anafuata dozi kwa umakini mkubwa, otherwise mutumie kinga na ikifikia mukahitaji watoto basi iwe kwa njia ya kupandikiza
 
Kuzaliwa mtoto au watoto bila huo ugonjwa ni jambo linalowezekana 99%
 
Mkuu ebu fafanua vizuri hpo kwenye suluhisho la huu ugonjwa.

ndugu nifafanue nini tena ndo hivyo suluhisho lipo kama unahitaji unakutana na medical doctor anakupa maelezo ya kitaalamu, ni mambo genuine kabisa
 
Yaan badala aseme ili watu wengi wafaidike anataka atafutwe.

kwa ni unataka nisemeje sasa zaidi ya hapo? la muhimu ni kwamba kwa anayehitaji kabla ya kutumia atakutana na medical doctor kwanza ili afahamishwe kitaalamu zaidi na akiridhika basi ataanza tiba tu
 
ndugu nifafanue nini tena ndo hivyo suluhisho lipo kama unahitaji unakutana na medical doctor anakupa maelezo ya kitaalamu, ni mambo genuine kabisa
Mkuu twende polepole ili tupone kinachotokea hpo nikupta kinga tu au tiba kabisa ??? Tunaulza hivyoo ili tujue maana tuna ndgu zetu ambao wanahaya matatizo,last time Kuna ndgu yangu wakike alipata mchumba shekhe akaja akafunga ndoa mama akamuliza mmepima akajibu Hpna wakaamuriwa walale pale nyumbni bila kuwa pamoja siku iliyo fuata mama akawachukua hdi kwa dactari kijana akawa amethirika dada Yuko salama na kwabahti nzuri Hawja shiriki tendo.
NB; MEDICAL DOCTOR UNAO WAZUNGUMZIA TUNAO WAJUA TULIO WENGI WANASHAURI KUTUMIA ARV,AU KUNA WENGINE ZAIDI YA HAO???NAOMBA TUANZIE HPO KWANZA.
 
Huenda ni mzima wa afya kbs ila amebuni njia yake ya kujipatia mwanaume wa maisha yake mwenye upendo wa kweli, anaejali kwa dhati, anaethamini utu wa mtu, anaeweza kukabiliana na hali yoyote ktk maisha yake kuilinda na kuiendeleza familia.
Kama ni tofauti na mawazo yangu basi nakupongeza kwa ujasiri ulionao, ni wanaume wachache wanaweza hili, mimi pia niweke pembeni.
 
Mkuu twende polepole ili tupone kinachotokea hpo nikupta kinga tu au tiba kabisa ??? Tunaulza hivyoo ili tujue maana tuna ndgu zetu ambao wanahaya matatizo,last time Kuna ndgu yangu wakike alipata mchumba shekhe akaja akafunga ndoa mama akamuliza mmepima akajibu Hpna wakaamuriwa walale pale nyumbni bila kuwa pamoja siku iliyo fuata mama akawachukua hdi kwa dactari kijana akawa amethirika dada Yuko salama na kwabahti nzuri Hawja shiriki tendo.
NB; MEDICAL DOCTOR UNAO WAZUNGUMZIA TUNAO WAJUA TULIO WENGI WANASHAURI KUTUMIA ARV,AU KUNA WENGINE ZAIDI YA HAO???NAOMBA TUANZIE HPO KWANZA.

ok nakushukuru sana ndugu yangu kwa maelezo mazuri, nianze hivi kwa kweli ma medical doctors ninaowazungumzia ni wataalamu na mmoja anafanya kazi hospitali yetu ya Taifa na hii tiba anaijua na kuielezea kitaalamu zaidi. Mambo ya ARV sahau hawawezi kushauri mtu atumie hizo dawa maana wanayajua madhara yake.
Kuhusu iwapo hiyo tiba inatoa kinga au kuponya ninachojua ile inazalisha seli-kinga (CD4) za kutosha na kuupa mwili nguvu ya kupambana na magonjwa yoyote. Hayo ndo maelezo ya mimi mfuatiliaji wa masuala ya afya. Maelezo ya kitaalamu zaidi yatatolewa na doctor.
Naamini mpaka hapo tuko pamoja. SORRY kama maelezo yangu ya awali yalikukwaza.
 
Mshirikishe yeye ambaye NAFSI yako imo mikononi mwake kwanza yeye atakuongoza vyem zaid unaweza kuwa n mtu ambay hana virusi lakn mwisho wa ck unavipata ALLAH Ndo mjuzi zaid
 
Aisee.. Mkuu una moyo. Anyway mapenzi ya ujana/ kitoto ndivyo yalivyo mara fulani uko tayari kubeba madhara makubwa ukidhani labda hakuna mbadala wa unayempenda. Chukua muda kufikiri mara nyingi zaidi hasara na faida za unachotaka kukifanya. Ushauri wa Sky Eclat hapo juu ni mzuri zaidi
 
ok nakushukuru sana ndugu yangu kwa maelezo mazuri, nianze hivi kwa kweli ma medical doctors ninaowazungumzia ni wataalamu na mmoja anafanya kazi hospitali yetu ya Taifa na hii tiba anaijua na kuielezea kitaalamu zaidi. Mambo ya ARV sahau hawawezi kushauri mtu atumie hizo dawa maana wanayajua madhara yake.
Kuhusu iwapo hiyo tiba inatoa kinga au kuponya ninachojua ile inazalisha seli-kinga (CD4) za kutosha na kuupa mwili nguvu ya kupambana na magonjwa yoyote. Hayo ndo maelezo ya mimi mfuatiliaji wa masuala ya afya. Maelezo ya kitaalamu zaidi yatatolewa na doctor.
Naamini mpaka hapo tuko pamoja. SORRY kama maelezo yangu ya awali yalikukwaza.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ahsanteni nyote kwa ushauri na majibu mazuri... Nitafanyia kazi ipasavyo!
 
Nenda hospitali ushauriwe namna ya kuishi kama DISCORDANT COUPLE manake mnaweza kuishi bila mwenzi kupata maambukizi.
Pia neno MUATHIRIKA hatulitumii katika hii industry hivyo rekebisha kwa kuweka (ANAISHI NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI)
 
Back
Top Bottom