VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Usidanganye watu...wewe unapofanya ngono damu huwa zinatoka... nimeweka hii topic kwa ajili ya kuelimisha watu. Don't mislead the public.

HIV is an epidemic. And we are fighting the war
Ukifanya ngono bila michubuko itakayofanya damu kugusana hakuna mdudu anakupata.... Sperm zingekua na VVU au majimaji mengine tungekufa sana na hata walio na ukimwi wasingeweza kuzaa watoto wasio na ukimwi...
USITISHE WATU.
 
Mkuu Mimi Nataka kujua haya

1. Inasemekana HIV ndo kirusi hasa anasababisha UKIMWI, je ni kweli Hamna Mtu yoyote aliwahi mwona Huyu virus?

2. Inasemekana UKIMWI haumui victim, Ila magonjwa mengine nyemelezi, so let's assume AIDS victim is exposed Katika mazingira free of any diseases, je Huyu hatakufa?
Namsaidia.........virus huwa anaonekana sana......kwa vifaa vikubwa vya kitaalam.

Ukimwi maana yake ni upungufu wa kinga mwilini,,,,,,,sio kwamba ni ugonjwa flan,,,,,hapana ila ni kupungua tu kwa kinga mwilini. Kwa hyo kupungua huko kwa kinga mwilini ndo hupelea magonjwa hayo ulioyataja na kumpoteza mtu....na siku zote ndo ipo hvo.
 
Mkuu ilinibidi nichimbe kidogo uko sawa kabisa.....

Kwenye post yangu no 99 nimeelezea maelezo niliopewa na Doctor mmoja wa CTC kumbe nae alikua chaka kidogo.....

Shukran mkuu leo nmepata jambo jipya na muhimu kwa ajili yangu na wale wanaonizunguka....!
Umefanya nimecheka kidogo..angalau umefanya home work yako vizuri. Unapokula pussy angalia ndugu yangu...
 
Na
Ukifanya ngono bila michubuko itakayofanya damu kugusana hakuna mdudu anakupata.... Sperm zingekua na VVU au majimaji mengine tungekufa sana na hata walio na ukimwi wasingeweza kuzaa watoto wasio na ukimwi...
USITISHE WATU.
Nafikiri haujui couple ambazo zina HIV zinashauriwa kufanyaje linapokuja suala la kuzuia maambukizi. Baki na ujinga wako naona hutaki kujifunza!
 
Kweli mkuu nazani anautaalamu wa mambo haya lakini si general hivyo......

Ila kama wanakaa kwenye damu mbona nshawai skia kipimo cha mate ndo nkawa najiuliza inakuaje?
Kipimo cha mate ni yale yale tu wanapima damu si mate... Kama ingekua wanapima mate kwa nini sharti la kipimo kile ni kukiweka kwenye fizi na sio ukitemee mate kitoe majibu? Hakuna VVU kwenye mate wala jasho wala maziwa wala manii
.... Ingekua hivyo tungekufa sana.
 
Hukatazwi kuamini hivyo..but be watchfu
 
Kipimo cha mate ni yale yale tu wanapima damu si mate... Kama ingekua wanapima mate kwa nini sharti la kipimo kile ni kukiweka kwenye fizi na sio ukitemee mate kitoe majibu? Hakuna VVU kwenye mate wala jasho wala maziwa wala manii
.... Ingekua hivyo tungekufa sana.
Kusingekua na kumruhusu mama kunyonyesha hata ndani ya muda mchache
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!

Je ARC na UKIMWI vina mahusiano gani?
 
Back
Top Bottom