VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kwa nini wengine huwa ngozi imesinyaa na kupoteza nuru na apo tayali kashaanza dozi na kufuata masharti yote.....na je kwann huwa wakari sana.
 
Whether umewahi kumuona mkeo anachepuka au hachepuki mwisho wa siku akaja na mimba... bado utasema hukumuona mkeo anachepuka
Swali la kitaalamu unalijibu kimipasho... Nimekwambia weka microscopic image za HIV hapa wewe unajibu kama kila mtu ni mjinga humu.



Bado una vitu vingi vya kujifunza kuhusu HIV,/AIDS. Nilikuwa nakuiza maswali na bahati mbaya hujanijibu swali hata moja. Nikuombe ndugu yangu acha kuhadaa watu.


Kama zawadi ya Christmas nakupa zawadi ya hiki kitabu free ili uongeze uelewa wako. Njoo pm nikupe bureeeee

Screenshot_2018-12-27-09-13-23.jpg
 
Tangu kuanza kutumika kwa Arv duniani hususani Sub Saharan Africa, maambukizi ya VVU/ Ukimwi yameongezeka sana kuliko kabla ya hapo. Unadhani ni kwa sababu gani!? Na kwa nini Africa tena Sub Saharan Africa!?

Dawa za kupunguza makali kwa wenye VVU, zina athari sana kwa watumiaji hususani watoto kwenye mifumo ya fahamu na akili. Inatupaswa tuamini na kukubali tu kwamba ni side effects tu za kawaida kama dawa nyingine!?

Njia ya kutoa dawa za kupunguza makali kwa wenye VVU Ukimwi na aina ya jamii inavyofundishwa jinsi ya kuishi nao, i.e. mara wasijulikane na wasinyanyapaliwe nk.ni njia ya hatari kisaikolojia kwa wale wazima. Maana yake ni kuwa, mwenye maambukizi analindwa na kuthaminiwa afya yake lakini yule mzima yuko katika hatari sana ya kuambukizwa . Kwa lugha nyingine mafundisho ya kuwalinda wenye VVU yanalenga kuongeza maambukizi mapya! Ww unalisemeaje hilo.

Nchi za ulaya na USA wanambinu nyingi za kupambana na kutimiza malengo yao ikiwemo biological weapons, chemical weapons, psychological weapons and etc. Kwa nini VVU na Ukimwi visiwe sehemu ya silaha hizo!?

Ukifuatilia vzr issue ya VVU Ukimwi na Arv, utaona kabisa, Arv na psychological treatment jamii inayopewa jinsi ya kuish na wenye VVU, ni tata na ni utaratibu hatari sana. Ingekuwa kama miaka ya 80's na early 90's ambapo dawa hazikuwepo, Ukimwi usingekuwepo. Tungeshuhudia na kuwapoteza ndugu zetu wengi kwa muda mfupi, lkn baada ya miaka michache wangeisha na wale waliokuwa wanabaki wangejulikana sababu ya hali zao.

Kitendo cha wenye VVU Ukimwi kutojulikana na kuishi kawaida tu ndiyo adui mkubwa wa janga la Ukimwi. Swala na kitendo cha kuwaficha ndani ya wazima na wakijulikana na kuwapa treatment tofauti kuitwa ni unyanyapaa ni psychological made up. Viliandaliwa makusudi, kwa sababu zamani walikuwa wanajulikana na Elimu yao ilikuwa kuwambia kuwa VVU ni hatari. Siku hizi ni vice versa.

Kwa nini pale mtu akiwaza, akisoma na kuzungumza yale yanayopinga taratibu za mzungu anavyotaka hata kama ni za uovu huchukuliwa tofauti na huonekani kukengeuka !?

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
PRINCEd,

1 na 2. Sijui kama unataka nikueleze natural history ya HIV au mode of transmission.. ukisema mechanism sielewi

3.kama mama hajaatharika mtoto hawezi kupata maambukizi
 
Dig the EA,
Wataalam wa microbiology na sababu tofauti kabisa kwanini HIV imeendelea kuspread. Tofauti kabisa na imani yako.

Katika jamii ndugu wangependa kuishi na ndugu yao hata siku moja hakuna point ya kuwanyima waathirika dawa za ARV

Kama hujui unyanyapaa ndio uliongeza kasi ya watu kuambukiza HIV,
 
Apo mm ndio nachokaga swali zuri sana
Point ya kutumia dawa ni kusaidia kuwapunguza HIV. UKIWAPUNGUZA HIV kinga itapanda. Sasa ukitibu kifua tu kinga haitopanda. Hivyo huyo mtu kesho atapata kifua tena
 
Kwa nini wengine huwa ngozi imesinyaa na kupoteza nuru na apo tayali kashaanza dozi na kufuata masharti yote.....na je kwann huwa wakari sana.

Jambo la kuzingatia hawa ni wagonjwa wanaumwa kama watu wengine wanaoumwa magonjwa mengine.

2.Kukasirika nimejibu katika comments za nyuma
 
Mbn unazitetea sana ARVs tatzo nn je kuna fungu unakula kwa kuleta uzi huu

Na what if duniaa nzma wakiacha kunywa izo dawa ?

Je usha wah kuona sample mate yenye hiv virus?

Pia umezungumziaa vipmo vya 3d microscopes je hivi tunavyo tumiaa mtaan vina linganishwa vip na hicho kipya?

HIV/AIDS is all about epigenetics(what we think we are is what we become) je kwel?

Je unajuaa scientific name ya HIV virus ?
 
kancarl,
Nazitetea ARV kwa sababu ninajua faida yake kwa wagonjwa wa HIV.

Jibu linajulikana wakiacha kutumia dawa watakufa
Kuna vipimo huwa vinatumika katika university ambavyo hata vikiletwa mahospatilini havina added advantage
Virus wanatoka kwenye family ya Retrovirus, genus Lentivirus, Species Human immunodeficiency virus type 1 na 2
 
Mkuu
Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya HIV na watu wenye blood group O-?
 
Na why watu wakiacha kutumia dawa wanakufa
Je dawa zina reaction gan katika kuzalishwa kwa cell zingne baada ya mtu kuacha
Na kwa nn weng wanaotumia dawa hizi kufa kwa presha ?
 
Back
Top Bottom