Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapenda sana kulazimisha mambo, kitu kama hukipendi ni hukipendi tu. Mimi binafsi huwa si mpenzi wa ndizi na ni miaka zaidi ya kumi na tano naambiwa sentensi hihii hujakutana na fundi hujakutana na fundi...fundi my ass. Mtu akiniambia hivyo huwa namuambia hebu pika wewe nione...akipika nakuta ni utopolo uleule tu. Haya hapa unaongea habari ya kuweka karanga kwenye cabbage..karanga na cabbage wapi na wapi! Mimi ni mpenzi wa cabbage ila hilo pishi unalolipenda wewe nehi...! Halafu magimbi na nazi, na uroho wangu wote wa magimbi ukipika hivyo napita hivi..Kuweni serious hamli nyama!, mwengine boga na kabeji wakati kabeji ni kitunguu kikubwa!
Niwaeleze ukweli kitu Kama hukili kwasababu isiyo ya kiafya jua tu hujakutana na fundi wa kupika hicho kitu!. Hivi kabeji ipikwe na karanga ya kutosha kitu roast moja amaizing unaachaje??
Kitu cha magimbi kipikwe rojo kichanyanywe na nazi iliyoshiba unaanzaje kusema huli!!?? [emoji3]
Chakula ni ufundi ndugu zanguni,mkikutana na makungwi mbona mtakula.
Acha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yako😂Mnapenda sana kulazimisha mambo, kitu kama hukipendi ni hukipendi tu. Mimi binafsi huwa si mpenzi wa ndizi na ni miaka zaidi ya kumi na tano naambiwa sentensi hihii hujakutana na fundi hujakutana na fundi...fundi my ass. Mtu akiniambia hivyo huwa namuambia hebu pika wewe nione...akipika nakuta ni utopolo uleule tu. Haya hapa unaongea habari ya kuweka karanga kwenye cabbage..karanga na cabbage wapi na wapi! Mimi ni mpenzi wa cabbage ila hilo pishi unalolipenda wewe nehi...! Halafu magimbi na nazi, na uroho wangu wote wa magimbi ukipika hivyo napita hivi..
Kuwa na akili basi unawaita watu washamba kisa hawapendi unachopenda wewe? Watu kama ninyi ndio huwa mnakuwa hata wabakajiAcha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yako[emoji23]
Mkuu mwenyewe nilikuwa sipendi majani ya kunde nilikuwa sipendi kabisa! Siku ya siku nikatua kwenye mkono wa fundi nani huko! Lile pishi silisahau😋Mnapenda sana kulazimisha mambo, kitu kama hukipendi ni hukipendi tu. Mimi binafsi huwa si mpenzi wa ndizi na ni miaka zaidi ya kumi na tano naambiwa sentensi hihii hujakutana na fundi hujakutana na fundi...fundi my ass. Mtu akiniambia hivyo huwa namuambia hebu pika wewe nione...akipika nakuta ni utopolo uleule tu. Haya hapa unaongea habari ya kuweka karanga kwenye cabbage..karanga na cabbage wapi na wapi! Mimi ni mpenzi wa cabbage ila hilo pishi unalolipenda wewe nehi...! Halafu magimbi na nazi, na uroho wangu wote wa magimbi ukipika hivyo napita hivi..
Na kwa ushamba huu nitakubaka tu😂Kuwa na akili basi unawaita watu washamba kisa hawapendi unachopenda wewe? Watu kama ninyi ndio huwa mnakuwa hata wabakaji
Sio kwamba sijui...hayo mapishi nayajua ila siyapendi. Mimi magimbi, viazi, mihogo huwa nataka viwe vikavu kabisaNa kwa ushamba huu nitakubaka tu[emoji23]
Ushamba ulioonyesha ni kushangaa karanga kuwekwa kwenye kabeji au nazi kuwekwa kwenye magimbi! Kuna watu unajua kabisa hawajui kupika hata kwa tu interview twa jf[emoji1787]
Wengime bumo tunaomgeza na sato unashushia matonge ya ugali kama koo limeishiwa breki hiviAcha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yako😂
Sawa.Sio kwamba sijui...hayo mapishi nayajua ila siyapendi. Mimi magimbi, viazi, mihogo huwa nataka viwe vikavu kabisa
Kubali tu kwamba tunatofautiana..hayo majani ya kunde sio kwamba ulikuwa huyapendi ila ni kwamba ulikuwa hujui kuyapika. Mimi huwa napika ngegere nakula na wali hadi mwenyewe nasema naam...nimepika bwana. Lakini ukichukua hizohizo ngegere unipe na ugali sili hata kwa fimboMkuu mwenyewe nilikuwa sipendi majani ya kunde nilikuwa sipendi kabisa! Siku ya siku nikatua kwenye mkono wa fundi nani huko! Lile pishi silisahau[emoji39]
Hayohayo majani yanaweza kukaushwa yakasagwa na kuwa chembechembe ikipikwa hii mboga na wanaojua kuipika huwezi hata kuelewa kuwa ni majani ya kunde! Hiyo inaitwa nsasa. Mapishi ni Sanaa pia nakushangaa mtoto wakike wewe kushangaa kabeji kuwekwa karanga[emoji23]
Kitu cha samaki acha kabisaWengime bumo tunaomgeza na sato unashushia matonge ya ugali kama koo limeishiwa breki hivi
Haya tufanye umeshindwa kumradhi umeshindwa.Kubali tu kwamba tunatofautiana..hayo majani ya kunde sio kwamba ulikuwa huyapendi ila ni kwamba ulikuwa hujui kuyapika. Mimi huwa napika ngegere nakula na wali hadi mwenyewe nasema naam...nimepika bwana. Lakini ukichukua hizohizo ngegere unipe na ugali sili hata kwa fimbo
Utajua mwenyewe, sipo hapa kushindana keyboardHaya tufanye umeshindwa kumradhi umeshindwa.
That's my sista 😊Mnapenda sana kulazimisha mambo, kitu kama hukipendi ni hukipendi tu. Mimi binafsi huwa si mpenzi wa ndizi na ni miaka zaidi ya kumi na tano naambiwa sentensi hihii hujakutana na fundi hujakutana na fundi...fundi my ass. Mtu akiniambia hivyo huwa namuambia hebu pika wewe nione...akipika nakuta ni utopolo uleule tu. Haya hapa unaongea habari ya kuweka karanga kwenye cabbage..karanga na cabbage wapi na wapi! Mimi ni mpenzi wa cabbage ila hilo pishi unalolipenda wewe nehi...! Halafu magimbi na nazi, na uroho wangu wote wa magimbi ukipika hivyo napita hivi..
Yaani huwa nikiangalia tu mtu anakula ugali na mtindi (maziwa) kichefu chefu tayari.Ugali na maziwa hata kwa mabomu sili