Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Mnapenda sana kulazimisha mambo, kitu kama hukipendi ni hukipendi tu. Mimi binafsi huwa si mpenzi wa ndizi na ni miaka zaidi ya kumi na tano naambiwa sentensi hihii hujakutana na fundi hujakutana na fundi...fundi my ass. Mtu akiniambia hivyo huwa namuambia hebu pika wewe nione...akipika nakuta ni utopolo uleule tu. Haya hapa unaongea habari ya kuweka karanga kwenye cabbage..karanga na cabbage wapi na wapi! Mimi ni mpenzi wa cabbage ila hilo pishi unalolipenda wewe nehi...! Halafu magimbi na nazi, na uroho wangu wote wa magimbi ukipika hivyo napita hivi..
Mapishi mengine karanga na cabbage duu hapana
 
Huu uzi umeanzishwa na mwanaume au mwanamke?

Mwanaume unatakiwa ule karibia kila msosi, hujaletwa dunia kuwa narenare...
 
Mkuu mwenyewe nilikuwa sipendi majani ya kunde nilikuwa sipendi kabisa! Siku ya siku nikatua kwenye mkono wa fundi nani huko! Lile pishi silisahau[emoji39]
Hayohayo majani yanaweza kukaushwa yakasagwa na kuwa chembechembe ikipikwa hii mboga na wanaojua kuipika huwezi hata kuelewa kuwa ni majani ya kunde! Hiyo inaitwa nsasa. Mapishi ni Sanaa pia nakushangaa mtoto wakike wewe kushangaa kabeji kuwekwa karanga[emoji23]
Ukisema nsansa malizia mboga ya kinyamwezi
 
Wale samaki Kambale,kuna yule mwingine unamkuta kanyongwa hv analick mkiia wake,Nyama ya ng'ombe,utumbo wowote ule+maini,kitumoto,mbwa,Paka,Panya(mtanisamehe ndugu zangu MAchinga)
Hapa hata aje mpishi kutoka wapi apike amwagie na champagne SILI[emoji849]
 
1.Mtindi bila sukari
2.Magimbi
3.Kabichi
4.Mlenda
5.Afkeki
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri mtaitikia wenyewe huko

Kila mtu kuna baadhi ya vyakula hawezi kuvila kwa sababu kama za magonjwa au kutokuvipenda.

Mimi binafsi siwezi kula vyakula vifuatavyo yani heri nishinde njaa. Sili sababu sivipendi tu.

~Viazi vitamu vya kuchemsha sili vya
Kukaanga nakula.

~Maharage yakiungwa na mafuta sili iwe kwa ugali hata kwa wali ila yakiwekwa nazi au mrenda wa majani nakula.

~Wali au ugali ukipoa sili

~kabichi hapana, kachumbali hapana

~Nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, sungura, Bata na nyama za pori zote sili

~Chai iwekwe mchai chai na tangawizi tofauti na hapo sinywi.

~Maandazi, mikate, skonsi Sili

Sili kwa sababu sivipendi sio sababu vinaniletea matatizo hapana

Hebu na wewe tuambie ni vyakula gani huwezi kula hata vipikwejeView attachment 2098882


Bika shaka Wewe ulianza kudeka toka ulipokuwa mtoto.
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri mtaitikia wenyewe huko

Kila mtu kuna baadhi ya vyakula hawezi kuvila kwa sababu kama za magonjwa au kutokuvipenda.

Mimi binafsi siwezi kula vyakula vifuatavyo yani heri nishinde njaa. Sili sababu sivipendi tu.

~Viazi vitamu vya kuchemsha sili vya
Kukaanga nakula.

~Maharage yakiungwa na mafuta sili iwe kwa ugali hata kwa wali ila yakiwekwa nazi au mrenda wa majani nakula.

~Wali au ugali ukipoa sili

~kabichi hapana, kachumbali hapana

~Nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, sungura, Bata na nyama za pori zote sili

~Chai iwekwe mchai chai na tangawizi tofauti na hapo sinywi.

~Maandazi, mikate, skonsi Sili

Sili kwa sababu sivipendi sio sababu vinaniletea matatizo hapana

Hebu na wewe tuambie ni vyakula gani huwezi kula hata vipikwejeView attachment 2098882
Mzee unaishije sasa...baa unaweza kaa kwel mzee..mbuz choma..kuku..mdudu...mishkak..sasa mkuu unakula nn..huwenda una tatzo mkuu...yaan kachumbar huli mkuu?

Well mim binafsi kitu ambacho siwez kula ni miwa...ila juice yake napiga..ila kutafuna muwa..yaan hata mtu akiwa anakula muwa mi najiskia vibaya had mwil kusismka...unajua kuna watu wale ukisugua sufuria meno yanauma..sasa ndo mim kwenye muwa ..yaan mwil unasisimka meno yanauma kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niletee mboga zote ila kabeji hapana labda unilishe nikiwa sijitambui.
Waswahili tu waanaikosea.....nilikua mahala fulan aliangushwa mbuzi mzima ikapigwa rosti ya ajabu na kabej ndani na birian..aisee....au kabeji ipikwe iive mda mref halaf ikaangwe inaweka na sukar kwa mbali..hii niliigonga dubei...halaf unaweka na mkat kama sandwich vile..weeeeeeee....au kabej iwe kwenye kachumbar..aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1- kabichi.
Hapa ukinipa option nile risasi nife au nile hilo dude nitachagua risasi tu.

2. Makande meupe.
Niliwahi kuonja siku moja nilitapika mpaka nikaishiwa nguvu hata za kusimama. Ilikuwa mwanzo na mwisho.

3. Beetroot
Hili tunda, au sijui ni kitu gani?? Ila nakumbuka kilinishinda tu bila sababu.

4. Kunde.
 
Sasa nyie mnakulaga nini sasa...mimi sjui ambacho spend kula sjui na shida gani sasa
 
Aisee haya maisha tumetofautiana sana. Wote nyie hamjawahi kupigwa na njaa. Mimi kuna kipindi nilikua nasema siwezi kula nyanya chungu na biringanya.

Sasa katika mishe mishe za utafutaji niliingia chaka huko nikapigwa na njaa alafu nikakuta jamaa wamepika ugali na mboga ni mixa nyanya chungu na biringanya nilikula na nilienjoy sikuamini kabisa ila ndio imetokea.

Tangia siku hiyo nilijiapiza sitakuja kusema chakula fulani sili. Asikuambie mtu suala la kuchagua chakula ni kwa vile kipo. Ila njaa ikikugonga vizuri mamaee kila kitu utakula.
 
Mlenda even at a gun point sili🤣🤣
Magimbi
Boga
 
Back
Top Bottom