Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Mnapenda sana kulazimisha mambo, kitu kama hukipendi ni hukipendi tu. Mimi binafsi huwa si mpenzi wa ndizi na ni miaka zaidi ya kumi na tano naambiwa sentensi hihii hujakutana na fundi hujakutana na fundi...fundi my ass. Mtu akiniambia hivyo huwa namuambia hebu pika wewe nione...akipika nakuta ni utopolo uleule tu. Haya hapa unaongea habari ya kuweka karanga kwenye cabbage..karanga na cabbage wapi na wapi! Mimi ni mpenzi wa cabbage ila hilo pishi unalolipenda wewe nehi...! Halafu magimbi na nazi, na uroho wangu wote wa magimbi ukipika hivyo napita hivi..
 
Acha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yakoπŸ˜‚
 
Acha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yako[emoji23]
Kuwa na akili basi unawaita watu washamba kisa hawapendi unachopenda wewe? Watu kama ninyi ndio huwa mnakuwa hata wabakaji
 
Mkuu mwenyewe nilikuwa sipendi majani ya kunde nilikuwa sipendi kabisa! Siku ya siku nikatua kwenye mkono wa fundi nani huko! Lile pishi silisahauπŸ˜‹
Hayohayo majani yanaweza kukaushwa yakasagwa na kuwa chembechembe ikipikwa hii mboga na wanaojua kuipika huwezi hata kuelewa kuwa ni majani ya kunde! Hiyo inaitwa nsasa. Mapishi ni Sanaa pia nakushangaa mtoto wakike wewe kushangaa kabeji kuwekwa karangaπŸ˜‚
 
Nimekula enzi zio kwa vile sina jinsi ila sizipendi vyakula ivyo ni Kande(upareni) na ambacho sijakula na wala sitamini kwangu kula ni nyama ya nguruwe wale samaki kama bunju na kansa
 
Kuwa na akili basi unawaita watu washamba kisa hawapendi unachopenda wewe? Watu kama ninyi ndio huwa mnakuwa hata wabakaji
Na kwa ushamba huu nitakubaka tuπŸ˜‚

Ushamba ulioonyesha ni kushangaa karanga kuwekwa kwenye kabeji au nazi kuwekwa kwenye magimbi! Kuna watu unajua kabisa hawajui kupika hata kwa tu interview twa jf🀣
 
Na kwa ushamba huu nitakubaka tu[emoji23]

Ushamba ulioonyesha ni kushangaa karanga kuwekwa kwenye kabeji au nazi kuwekwa kwenye magimbi! Kuna watu unajua kabisa hawajui kupika hata kwa tu interview twa jf[emoji1787]
Sio kwamba sijui...hayo mapishi nayajua ila siyapendi. Mimi magimbi, viazi, mihogo huwa nataka viwe vikavu kabisa
 
Acha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yakoπŸ˜‚
Wengime bumo tunaomgeza na sato unashushia matonge ya ugali kama koo limeishiwa breki hivi
 
Kubali tu kwamba tunatofautiana..hayo majani ya kunde sio kwamba ulikuwa huyapendi ila ni kwamba ulikuwa hujui kuyapika. Mimi huwa napika ngegere nakula na wali hadi mwenyewe nasema naam...nimepika bwana. Lakini ukichukua hizohizo ngegere unipe na ugali sili hata kwa fimbo
 
Haya tufanye umeshindwa kumradhi umeshindwa.
 
That's my sista 😊

Huwa unaspeak my mind mara nyingi sana sana sana hapa JF

Kabichi na karanga πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
Hapo mimi nisiyependa kabichi ndio unanipa sababu nyingi zaidi ya kutopenda
 
Njugu hapana bora nikoroge uji kesho nikatafute mchicha pori
 
Ila kwenye nyama pole sana mleta uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…