Umeonaeee. Na hii huwa inasababisha baadhi ya watu kufa kwa magonjwa yanayosababishwa na ulaji wa mavyakula yasiyofaa kiafya kisa tu ya pesa.Inahitajika kwa kweli,kuna baadhi ya virutubisho tunavikosa kwa imani kwamba chakula kile ni cha watu wenye vipato kile
Wewe nawe umetokea wapi unadandia tu treni kwa mbele? Mbona niliemwambia hivyo hajatokwa povu kama wewe? Afya yangu njema unaijua? Unajuaje siumwiuna uhakika gani wewe hautapata kisukari mzee?usitukane mamba haujavuka mto mheshimiwa,acha kukoment ujuaji kwenye magonjwa sisi wote binadamu kuugua ni muda wowote ,siku hizi hata watoto wanakisukari,mshukuru Mungu kwa hiyo afya njema uliyonayo
Mi ugari na kabichi tu ndio ulikuaa unaniacha hoi tonge la kwanza unameza na la pili pia lakini kadili unavyoendelea kula ugari unazidi kuzunguka pale mdomoni mwisho wa siku unameza mate ugari unabaki aaaaaah aaakh kabichi kiboko.Hahahaaaa. Zero mie nakumbuka Ugali na bamia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kufa kupo tu lakini kwa menu hiyo unakialika kifo kupitia magonjwa hatari yasiyo ya kuambukiza na yasiyo na tibaUtajri inatakiwa ale baga,pizza,soseji ,Hennessey ,Maji Kilimanjaro, asile nyumbani akale KFC ,au pale mlimani city
Mkuu kwani nimekwambia mimi mgonjwa?Mboga za majani nyingi especially spinach
Matunda mengi
Nyama nyeupe wastani (Ukiweza usile nyama kabisa)
Kula kidogo sana ugali (dona), ukiweza usile wali kabisa, kula mkate wa ngano isiyokobolewa
Achana na vyakula vyote vya viwandani ikiwemo Juice
Kunywa maji mengi sana
Achana na sukari
Nyongeza: Fanya mazoezi
Watu wote wenye hela (Nje ya Afrika wanaishi hivi)
Mkuu huu ni ushauri wa daktari kwa mtu anayeugua mi nataka uniambie misosi ya kuliwa ukiwa na pesa.Nyama Nyeupe
Mboga Mboga kwa sana tena zisizoungwa wala kutiwa mafuta
Matunda
Ugali kiasi
Wali kiasi
Viazi vitamu kiasi
Maji kwa wingi
Unataka uwe mgonjwa ndio ule vyakula ili usife mapema?Mkuu kwani nimekwambia mimi mgonjwa?
Mkuu wenye hela ndio wanakula hivyo. Masikini wanaopata hela za hapa na pale ndio wanakula hayo mabaga yenuNataka uniambie vyakula vya kula ukiwa na pesa ,
Wewe umetoa ushauri wa vyakula kutoka kwa daktari kuelekea kwa mgonjwa.
๐๐๐๐๐๐ewaaaaaaLa kwangu linakaa katikati si eti mkuu.