Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Mboga saba...ila nyama nyeupe, mboga za majani na dona...

Matunda mvuaa...

Kifupi tajiri unapaswa kula mlo kamili
Kwa wengine kikwetu mwanaume unakulaje majani we mbuzi...ni vitu choma rosti kubanika etc
 
Chochote hata ugali kwa mlenda pori sawa tu....kwani pesa ndo nini mfyuuuuu
 
Mkuu nimebate niliweka timu kama 20 hivi kwa buku ikaja kama milioni 150 timu karibia zote ziko fresh kasoro moja inacheza leo ,

Hapo ndio nipo napangilia matumizi mkuu.
😂😂😂😂😂😂😂😂
We kiboko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kiboko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini mkuu
 
Ukiwa na hela huli sana wanao kula sana ni wale masela wanao kuzunguka hayo ndo maisha ya wenye hela
 
Piga see food plater mambo ya line fish na Lobster ,ukichoka ibuka Nandoz piga Jumbo Plater na kamuhindi ka kuchoma
 
Piga see food plater mambo ya line fish na Lobster ,ukichoka ibuka Nandoz piga Jumbo Plater na kamuhindi ka kuchoma
Muhindi wa kuchoma tena mkuu toa hapo kwenye list nimeshakula sana
 
Ukiwa na hela huli sana wanao kula sana ni wale masela wanao kuzunguka hayo ndo maisha ya wenye hela
Sasa mimi nitakuwa na hela kipindi ambacho sikuwahi kuwa na hela hivyo nitakula sana kuliko hao wa pembeni.
 
Unataka kula vyakula vya asili ya nchi gani/zipi?
 
Mkuu we nitajie list ya misosi mikali ya bongo
Jibu maswali yale mawili nijue ninaanzia wapi.

Nitajie chakula ambacho huwa unakula mara kwa mara pia nitajie chakula/vyakula unavyotamani kuvila ila uwezo wa kuvinunua hauna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…