Vyakula tunavyolishwa kwenye Baa, Hotelini, Migahawa nk

Umenikumbusha kitu..kuna wale wauza maziwa fresh wanaweka ngano na blue band.. ukicheki mazito..kumbe hakuna ubora wowote..
 
Mshana mbona wewe unatuletea kitu tofauti. Maana majuzi tu tulaimbiwa tuogope nyama ambazo hazifuatwi na inzi kwa kuwa mabuchani nao wameanza kuzipiga nyama zinazolala dawa anayopakwaga marehemu ili zisioze. Leo unatuambia kingine
 
Mshana mbona wewe unatuletea kitu tofauti. Maana majuzi tu tulaimbiwa tuogope nyama ambazo hazifuatwi na inzi kwa kuwa mabuchani nao wameanza kuzipiga nyama zinazolala dawa anayopakwaga marehemu ili zisioze. Leo unatuambia kingine
Hii ni mada ya kitambo sasa hivi kuna hilo la nyama kutofuatwa na nzi kabisa lakini pia nzi wasizidi
 
Mtoa Mada umetukumbusha kuchukua tahadhari ya kutosha kwenye ulaji wetu.
Hata hivyo ni vema wachangiaji angalau wakatoa na experience zao kwenye suala hili.
Zipo shuhuda nyingi tu hebu fuatilia replies
 

aisee
 
Ni kweli tunalishwa vyakula vya ajabu sehemu hizo, tumeishapatwa na kichefu, kutapika na kuharisha sana baada ya kula vyakula hivyo. Juzi kati hapa nimeenda kuwazozea mbovu mama lishe fulani baada kuniuzia take away food isiyofaa kuliwa na kuwaambia biashara ya kuuza chakula haifanywi hivyo, kuuzia watu chakula kibovu
 
Na hapo wakaishia kusema samahani baba
 
Na hapo wakaishia kusema samahani baba
ni kweli waliomba msamaha yaishe. Duh! Sijui ni wapi ndio kuna chakula salama? Mahotelini, migahawani au kwenye magenge ya mama/baba lishe? Tutakula wapi ikiwa hatuna muda wa kujipikia?
 
Hawa wamenisababisha huwa siachi kutembea na Flagyl kwenye kimkoba changu....
 
Acha kudanganya wewe nimefanya kazi hoteli na bar mambo ya paka, mbwa, kibudu acha ujinga unaongopa twende kwenye hiyo bar ukathibitishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…