Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

Kuna huyo mpishi wetu wa high school ikifika zamu yake kupika walaah mtakula vibichi… akibandika wali anapalia moja kwa moja anafunga mlango wa jikoni anaweka funguo juu ya mlango huyo anasepa basi muda wa msosi ni kutafuna michele tu

Tulikuwa hatumtaki mpk tunagoma kula ila haikuwezekana maana yeye alikuwa akilipwa na serikali sio shule


Huyu alikuwa wa kiume
 
Hamna lakini hawa viumbe sijui wana shida gani zunguka sehem nyingi vyakula wakipika vinakuwa vibaya! Sasa sijui ni vile wanajidai ni multiworkers!
Kwamba wanaweza shughuli nyingi kwa pamoja au nini

Kuna ndugu yangu anamiliki kumbi za harusi 6 zipo mbezi beach na zingine sinza

Katika kumbi zake haruhusu chakula kitoke nje.. catering na mapambo anafanya mwenyewe mwenye ukumbi.

Kwenye hao wapishi wake wa catering.. wote ni wanaume tupu. Wanawake kazi yao ni kukata kachumbari tu. Na kusafisha jiko

Mimi nilishangaa, nikauliza kwa nini hawapiki wanawake ? Nikajibiwa kwamba wanawake hawawezi kupika chakula cha watu wengi.. maana hawana umakini kwenye mapishi. Wanapiga umbea huku wanapika hivyo wanakosea kosea sana
 
Kama kuna kitu hatuwezi wazidi wanaume ni nguvu za mwili/misuli. Ile geuza, changanya, pakua nadhani inawashinda wanawake sababu ya eneji ndogo.
 
Ni kweli
 
Mie tenaaaa....!!!

Tunafanya makusudi kuwakomoa watu flani flani walioko kwenye hiyo shughuli/msiba.
Lengo kuharibu tuu....
Zinaitwa mudi za kike 🤪.
Eboooo
 
Sasa huyo hakuwa mpishi! Akikuwa muoka mikate
 
Kwenye swala la usafi meamua kufunika kombe siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…