Kuna huyo mpishi wetu wa high school ikifika zamu yake kupika walaah mtakula vibichi… akibandika wali anapalia moja kwa moja anafunga mlango wa jikoni anaweka funguo juu ya mlango huyo anasepa basi muda wa msosi ni kutafuna michele tu
Tulikuwa hatumtaki mpk tunagoma kula ila haikuwezekana maana yeye alikuwa akilipwa na serikali sio shule
Huyu alikuwa wa kiume
Tulikuwa hatumtaki mpk tunagoma kula ila haikuwezekana maana yeye alikuwa akilipwa na serikali sio shule
Huyu alikuwa wa kiume