Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

Ukiwafuata jikonj unakuta wamenuniana mchochea kuni na mtia chumvi hawaongei...wanabishana kinoma ...mmoja anataka kugeuza ubwabwa mwngine anasema haupiki hivyo yaa fujo tupu
kwanini wanakuwa wamenuniana? hahahahah
 
Tatzo la wanawake wengi hufanya mambo kwa kukariri,hajui kutofautisha chakula kingi na kidogo,unakuta anatumia mbinu zile zile pasipo kuzingatia wingi
 
Back
Top Bottom