Vyama tisa vya siasa vyaingilia kati kauli ya ACT-Wazalendo

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Vvya tisa vya siasa Zanzibar, vimesema kauli ya Chama cha ACT-Wazalendo ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, haina nia njema kwa Zanzibar.

Hivi karibuni, ACT Wazalendo kilisema hakikubaliani na uteuzi wa Faina kwa madai yeye ndiye alikuwa mkurugenzi wa ZEC katika uchaguzi wa mwaka 2020 ambao haukuwa huru na haki.

Source: Mwananchi
 
Sasa wanapinga bila kutoa hoja yeyote? Nia njema ni kumuweka mtu aliyekwisha fanya madudu?
Huu umoja wa hivyo vyama nadhani unajua lengo lao. Hata huku bara walishatoa kauli yao kuhusu Chadema.
 
Heheee..ngoja tuone...shetani hanaga rafiki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi vyama vya kipumbavu sana
 
MBONA HUJAVITAJA HIVYO VYAMA?
 
Hivyo vyama 9 si ni mawakala wa ccm?!
 
Vyama vyote vilivyopo Zanzibar ukitoa CCM, ACT na Chadema
Kama ni hivyo basi Sio Vyama vya Upinzani ni Vyama Tanzu vya CCM na ACT Tanzania kuna Chama kimoja tu cha UPINZANI hata hivyo Vyama VINAJUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…