Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

Uchaguzi Mkuu Tanzania wa 2010 Mgombea wa Urais kupitia UPDP alitangaza wapiga kura wake wampigie Kikwete baada ya jina lake kukosewa, Kiuhalisia hivyo Vyama ni matawi ya genge la wezi CCM
 
Hao walishanunuliwa ndio maana hata maoni yao yanafanana na ya CCM.

Tamko la mipasho "kifo cha mende"
 
Hivyo hapo juu ni vyama vilivyounda 'UKAWA' yao na CCM.
Mbona CCM siioni hapo kwenye orodha.

Tatizo lenu matamko mtoe ninyi wakitoa wengine CCM. Huu ujinga sijui mpaka lini.

Mbatia akiwa UKAWA yenu mlimuona mali, kajitoa tayari ni CCM B
 
Enough is enough ina tatizo gani na inachochea nini na ina mchochea nani? ''Kama noma na iwe noma'' ina tatizo gani na ina mchochea nani? Maneno haya mbona yapo hata kwenye nyimbo za taarabu shida ni nini?
 
Mbona CCM siioni hapo kwenye orodha.

Tatizo lenu matamko mtoe ninyi wakitoa wengine CCM. Huu ujinga sijui mpaka lini.

Mbatia akiwa UKAWA yenu mlimuona mali, kajitoa tayari ni CCM B
Tumia jicho la 3 CCM utaiona hapo.
 
Duh ni vyama vya siasa vipo Tanzania kweli?
Ni bora ingeandikwa familia 12 zamtaka msajili....
Ingeeleweka zaidi.
Sifa ya chama ni lzm uwe na ofisi,hivo vyama ni sawa ofisi za mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…