Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyama 12 bila kuwa na mbunge hata mmoja ni aibu kubwa, in sawa na vikundi vya ngoma au vya kusaidiana.Kwani kuwa na mbunge ni sharti mojawapo la kusajili chama?
Hamtumii wasiojulikana?Maalim Seif kwa zile kauli jela inamuita
Mbona CCM siioni hapo kwenye orodha.Hivyo hapo juu ni vyama vilivyounda 'UKAWA' yao na CCM.
Hamtumii wasiojulikana?
Tumia jicho la 3 CCM utaiona hapo.Mbona CCM siioni hapo kwenye orodha.
Tatizo lenu matamko mtoe ninyi wakitoa wengine CCM. Huu ujinga sijui mpaka lini.
Mbatia akiwa UKAWA yenu mlimuona mali, kajitoa tayari ni CCM B
Vipi yule aliyetishia kumuua zito na mbowe akazawadiwa u DC Arusha.Je alitoa kauli za sifa?Maalim Seif kwa zile kauli jela inamuita
Sifa ya chama ni lzm uwe na ofisi,hivo vyama ni sawa ofisi za mtandaoniDuh ni vyama vya siasa vipo Tanzania kweli?
Ni bora ingeandikwa familia 12 zamtaka msajili....
Ingeeleweka zaidi.
Wa aina yenu waliwapo siku nyingi. Wakati wa Mandela, SA walikuja unda tume ya maridhiano ikaja wasaidia kusamehewa na waSA weusi wenzao. AMENMaalim SemEif kwa zile kauli jela inamuita