Vyama vya Siasa 8 nchini China

Vyama vya Siasa 8 nchini China

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
China ni nchi inayo ongozwa na chama cha kikomunisti.

Chama cha kikomunisti sio chama pekee kilichopo katika nchi ya China bali kuna vyama vingine nane ukiondoa chama cha kikomunisti.

Vyama hivi nane hutambulika kama vyama shauri kwa serikali na vinajumuishwa katika bunge la watu wa China.

Hii ni tofauti na mfumo wa vyama vingi katika mataifa mbalimbali duniani ambavyo kwao huitwa vyama vya upinzani.

Je, vyama hivyo nane vya China tofauti na CPC ni vipi ? Tujifunze
1.
Screenshot_20230403-141442.jpg

2.
Screenshot_20230403-141608.jpg

3.
Screenshot_20230403-141616.jpg

4.
Screenshot_20230403-141638.jpg

5.
Screenshot_20230403-141649.jpg

6.
Screenshot_20230403-141658.jpg

7.
Screenshot_20230403-141707.jpg

8.last party
Screenshot_20230403-141715.jpg

9.
Screenshot_20230403-141726.jpg

10.
Screenshot_20230403-141837.jpg

END
Screenshot_20230403-141854.jpg
 
We jamaa bana, dah..!!

How come unaviita ni vyama vya kisiasa na wakati havihusishwi kwenye kugombania nafasi muhimu kwenye nyazifa nyeti za kiserikali,

Why top members wote 7 wa polibureau position na wale 25 na wale 400 ni wa CPC,

Why katiba yenu imempa rais mamlaka makubwa sana hadi ya kuchagua viongozi, kwann wasichaguliwe na wananchi

Tunaposema China hakuna separation of Power uwe unaelewa

Halafu kwann mlimpa Raisi mstaafu HujiNtao karatasi yenye majina tofauti na wengine wakati wa kupiga Kura alipoonesha concern rais Xi akaagiza atolewe nje ya mkutano.

We know everything usisingizie alikuwa mgonjwa.

Ukishindwa kujibu maswali yetu ufute huu uchafu wako hapa, usituletee propaganda zako za CPC
 
Halafu kwann mlimpa Raisi mstaafu HujiNtao karatasi yenye majina tofauti na wengine wakati wa kupiga Kura alipoonesha concern rais Xi akaagiza atolewe nje ya mkutano.
Hii habari umepata wapi ?
 
We jamaa bana, dah..!!

How come unaviita ni vyama vya kisiasa na wakati havihusishwi kwenye kugombania nafasi muhimu kwenye nyazifa nyeti za kiserikali,

Why top members wote wa bureau position ni wa CPC

Halafu kwann mlimpa Raisi mstaafu HujiNtao karatasi yenye majina tofauti na wengine wakati wa kupiga Kura alipoonesha concern rais Xi akaagiza atolewe nje ya mkutano.

We know everything usisingizie alikuwa mgonjwa.
Mkuu kizzy wizzy tambua kuwa Kila nchi ina utaratibu wake hasa kwa kuzingatia historia,jamii,uchumi,siasa na utamaduni ni vena kuelewa kwamba siasa ya China haiwezi kuwa siasa sawa na mataifa ya ulaya na marekani na ndivyo vivyo hivyo siasa za ulaya na marekani haziwezi kuwa sawa na siasa ya China

"Pale ukigundua kwamba hakuna meza iliyo andaliwa kwa ajili yako basi tengeneza meza yako"
 
We know everything usisingizie alikuwa mgonjwa.
Nielezee kwa kina kuhusu former party general Secretary and president of PRC Hu Jintao yale nisiyo fahamu ambayo wewe wafahamu ?
 
Xi is a strongman...I just wonder what will happen if he happens to suddenly die. He has not groomed any successor for the next 20 years. The old guard can't rule China with 80's and 90's thinking. I feel sorry for the lost generation of those who were born in early 80's and 90's.
 
How come unaviita ni vyama vya kisiasa na wakati havihusishwi kwenye kugombania nafasi muhimu kwenye nyazifa nyeti za kiserikali,
Kwa sababu ni vyama vya kisiasa vinavyo shiriki katika bunge la watu wa China kama vyama shauri kwa serikali
 
Hu hakua mgonjwa. Ulitumika ubabe wa mwenyekiti hahojiwi zidumu fikra za mwenyekiti.
Ubabe upi ulio tumika ? Naomba uueleze umma yale uyafahamuyo kuhusu former general Secretary ili tupate kuelimika
 
Ubabe upi ulio tumika ? Naomba uueleze umma yale uyafahamuyo kuhusu former general Secretary ili tupate kuelimika
Kwa Nini alitolewa kikaoni kwa kulazimishwa. Video inaonesha akiwa anataka kuongea na waziri mkuu lakini Xi kamzui na kuwaambia askari wamtoe nje?
 
Xi is a strongman...I just wonder what will happen if he happens to suddenly die. He has not groomed any successor for the next 20 years. The old guard can't rule China with 80's and 90's thinking. I feel sorry for the lost generation of those who were born in early 80's and 90's.
Serikali ya China haiongozwi na mtu mmoja bali chama cha kikomunisti ndicho kinacho ongoza serikali ya China.

Mwaka 1976 Chairman Mao Zedong alifariki akiwa bado kiongozi lakini hakuna matokeo hayo unayo mtabiri Xi kutokea
 
Why katiba yenu imempa rais mamlaka makubwa sana hadi ya kuchagua viongozi, kwann wasichaguliwe na wananchi
Uchaguzi unafanyika China katiba haijanyima uhuru wananchi kuchagua viongozi wao
 
Kwa Nini alitolewa kikaoni kwa kulazimishwa. Video inaonesha akiwa anataka kuongea na waziri mkuu lakini Xi kamzui na kuwaambia askari wamtoe nje?
Hu Jintao ana matatizo ya kiafya.
Nahitaji uelezee yale unayo fahamu kuhusu Hu lakini bado mpaka sasa hajafanya hivyo. Why
 
Serikali ya China haiongozwi na mtu mmoja bali chama cha kikomunisti ndicho kinacho ongoza chama cha kikomunisti cha China.

Mwaka 1976 Chairman Mao Zedong alifariki akiwa bado kiongozi lakini hakuna matokeo hayo unayo mtabiri Xi kutokea
Braza consensus ilikua kwa Deng, Jiang na Hu. Sasa hivi Xi alitaka wasilale hawalali. 2018 alibadilo katiba kumruhusu kuendelea kuwa katibu mkuu wa chama na Raisi wa nchi. 2023 kachagua timu ya watu saba isiyokua na mtu mwenye umri chini ya 60. Pia amehakikisha falsafa yake imewekwa kwenye katiba. Member wa politburo na alternative wote ni watu walio chini yake wote. Hakuna mtu kutoka Shangazi clique Wala chama Cha vijana Cha kikomunisti. Wateule wote ni watu waliofanya kazi nae. Subiri kuona namna anavyoenda kuigandamiza jamii ya kichina. Atleast Ile kufanya maamuzi kwa consensus kulifanya wasirudie ya 1968 lakini Sasa ni nani wa kufunga paka kengele?
 
Hu Jintao ana matatizo ya kiafya.
Nahitaji uelezee yale unayo fahamu kuhusu Hu lakini bado mpaka sasa hajafanya hivyo. Why
Kwamba wakati anaingia kwenye kikao yeye hakujijua ni mgonjwa?
 
Aliingizwa na walinzi wake wanao fuatilia maendeleo ya afya yake
Kwa Nini alikua anagoma kutoka? Kwa Nini alimshika Premier Li? Kwa ni Xi alikua analazimisha walinzi wamtoe nje?
 
Back
Top Bottom